Namshangaa huyu mwanamke wangu

Uwache tabia za kujilingishia cheo cha mzazi wako kutongoza mademu.

Hayo ni matokeo yake.
 
Mweee aisee anatia huruma.
 
......Kifupi simpendi ki ndoa kutokana na kabila lake na kupenda kwake ngono za kivita. Mfupi na chibonge.

Sasa sijui anampango gani na mimi namshangaa saana nisaidieni ndugu zangu
serikali iendelee kukataza matumizi ya ndumu.
 
NGONO ZA KIVITA NDIO ZIPI?
 
Wanaume ndivyo mlivyo,baada ya kumtumia mwanamke unaanza kumuona taka taka na kumsemea madhaifu yake.

Kama ulijua kwamba huna mpango naye kwani ulienda kumtongoza,huoni Kama umeblackmail hisia zake na kumpotezea muda?
Hivi kwani unapopewa zawadi ndani ya box utajuakua kuna nini ndani bila kufungua?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…