Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Tatizo jingine ni kuwa vilaza wengi ndiyo wameshika mpini wa kutawala nchi.Hii nchi ni bora liende,
Mapinduzi baridi ni muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo jingine ni kuwa vilaza wengi ndiyo wameshika mpini wa kutawala nchi.Hii nchi ni bora liende,
Mapinduzi baridi ni muhimu sana
Mi ndio sijamwelewa kabisa huyu mwanamama, km amechoka na uwaziri si akapishe wengine. Unawezaje kutumia vitendea kazi vya serikali kwa shughuli binafsi. Hawa hawana hata washauri? Tusubiri vituko huko mahospitalini. Hata kwa busara ya kawaida huwezi kutoa tamko km hilo, huwezi kuhudumia mabwana wawili kwa wakati moja. Eti wagawane mapato, nani anacontrol hayo mapato. Jambo la hovyo kwangu mimi.Waziri Ummy Mwalimu ameruhusu madaktari wa serikali kutumia hospitali za umma kama private clinics baada ya saa za kazi. Jambo hili lina ukakasi lakini ndiyo hivyo tena sisi wananchi hatuna namna bali kukubali kwa kuwa hoja ikisha kubaliwa na kupitishwa na CCM ndiyo maamuzi ya mwisho.
Sasa kwa kutumia busara hizo hizo za CCM basi uamuzi huo usiishie kwa madaktari tu bali pia watumishi wote wa serikali waruhusiwe kutumia mali na ofisi za umma kwa shughuli zao binafsi. Waalimu wafanye tuition mashuleni baada ya muda wa kazi, wahandisi, madereva, wahasibu nk.
Serikali isifanye ubaguzi wala upendeleo katika hoja hii. Wananchi wote wanalipa kodi hivyo wana haki ya kutumia rasilimali za umma kwa usawa. Ikiwezekana shughuli zote za umma zibinafsishwe kwa sababu serikali imeshindwa kuzisimamia.
Ummy akumbuke kuwa madaktari na manesi wanafanya kazi kwa shift! Wale wa shift ya usiku asubuhi wao siyo muda wa kazi, kwa uamuzi wake wa kijinga hao wa naweza kuendelea na kazi na hivyo kuleta mgongano. Kwamba wengine watafanya kazi kama muda wao wa kazi na wengine watafanya kama wako katika private clinics!Mi ndio sijamwelewa kabisa huyu mwanamama, km amechoka na uwaziri si akapishe wengine. Unawezaje kutumia vitendea kazi vya serikali kwa shughuli binafsi. Hawa hawana hata washauri? Tusubiri vituko huko mahospitalini. Hata kwa busara ya kawaida huwezi kutoa tamko km hilo, huwezi kuhudumia mabwana wawili kwa wakati moja. Eti wagawane mapato, nani anacontrol hayo mapato. Jambo la hovyo kwangu mimi.
Sijaamini alichokisema waziri!Waziri Ummy Mwalimu ameruhusu madaktari wa serikali kutumia hospitali za umma kama private clinics baada ya saa za kazi. Jambo hili lina ukakasi lakini ndiyo hivyo tena sisi wananchi hatuna namna bali kukubali kwa kuwa hoja ikisha kubaliwa na kupitishwa na CCM ndiyo maamuzi ya mwisho.
Sasa kwa kutumia busara hizo hizo za CCM basi uamuzi huo usiishie kwa madaktari tu bali pia watumishi wote wa serikali waruhusiwe kutumia mali na ofisi za umma kwa shughuli zao binafsi. Waalimu wafanye tuition mashuleni baada ya muda wa kazi, wahandisi, madereva, wahasibu nk.
Serikali isifanye ubaguzi wala upendeleo katika hoja hii. Wananchi wote wanalipa kodi hivyo wana haki ya kutumia rasilimali za umma kwa usawa. Ikiwezekana shughuli zote za umma zibinafsishwe kwa sababu serikali imeshindwa kuzisimamia.
Hii nchi kuna siku wataikodisha serikali kwa private groups.Ummy akumbuke kuwa madaktari na manesi wanafanya kazi kwa shift! Wale wa shift ya usiku asubuhi wao siyo muda wa kazi, kwa uamuzi wake wa kijinga hao wa naweza kuendelea na kazi na hivyo kuleta mgongano. Kwamba wengine watafanya kazi kama muda wao wa kazi na wengine watafanya kama wako katika private clinics!
Serikali imethibitisha bila chenga kuwa imeshindwa kusimamia watumishi wake na rasilimali za umma!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wameanza na bandari kwanzaa kupima upepoo.. sasa Waziri anataka madaktari wawe na ofisi zao ndani ya majengo ya serikali..Hii nchi kuna siku wataikodisha serikali kwa private groups.
Sahihi. Siyo kwamba ni mjanja, ameelekezwa kuja kutangaza kitu cha ajabu kama hiki almradi kuhamisha mjadala Wa watanzania juu ya DPw kwenye social media mbalimbali.Waziri Ummy ni mjanja, lengo lake ni kuhamisha mjadala wa wawekezaji wa DP World kwenye bandari zetu zote. Anataka sasa tujadili huu uwekezaji mpya wa madaktari wetu wazalendo kwenye hospitali na zahanati zetu zote nchini.
Ni uwekezaji mzuri wa kuleta ufanisi kwenye hospitali na zahanati zetu. Unapaswa kuigwa hata huko kwenye bandari zetu. Wafanyakazi wetu wa bandari waruhusiwe kufanya kazi hizo wakati wa private times zao na tukagawana mapato yatakayopatikana. Uamuzi huu hauhitaji kupata ridhaa ya bunge letu. Shule zetu za serikali ambazo nazo ufanisi wake si mzuri, zinaweza kuiga uwekezaji huu kwa walimu wake etc.
.Hii nchi kuna siku wataikodisha serikali kwa private groups.
Waziri Ummy Mwalimu ameruhusu madaktari wa serikali kutumia hospitali za umma kama private clinics baada ya saa za kazi. Jambo hili lina ukakasi lakini ndiyo hivyo tena sisi wananchi hatuna namna bali kukubali kwa kuwa hoja ikisha kubaliwa na kupitishwa na CCM ndiyo maamuzi ya mwisho.
Sasa kwa kutumia busara hizo hizo za CCM basi uamuzi huo usiishie kwa madaktari tu bali pia watumishi wote wa serikali waruhusiwe kutumia mali na ofisi za umma kwa shughuli zao binafsi. Waalimu wafanye tuition mashuleni baada ya muda wa kazi, wahandisi, madereva, wahasibu nk.
Serikali isifanye ubaguzi wala upendeleo katika hoja hii. Wananchi wote wanalipa kodi hivyo wana haki ya kutumia rasilimali za umma kwa usawa. Ikiwezekana shughuli zote za umma zibinafsishwe kwa sababu serikali imeshindwa kuzisimamia.
Na wanajeshi waruhusiwe kutumia bunduki na mabomu katika private security groups.Hii nchi kuna siku wataikodisha serikali kwa private groups.