Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Hongera zako mkuu....una zali mwanangu, sie wengine bado patupu, ngoja tuendelee kuomba dua Mola atajalia....
 
Ndo yupo kwenye plan za kuja babuu bado anajiandaa vya kutosha siunajua Usawa wenyewe huu mara shuka la babu sijui kapu la bibi teh

Smart911 you are needed na babuu
Asisahau na kreti kadhaa za kinywaji cha babu. Hiyo haihusiani na mahari bali fine ya kutumia kitumbua cha mjukuu wangu kabla ya kupewa kibali.

Mi si babu wa kispotispoti
 
Mtaomba sana hahaha hatuachaniiii tunapendanaaaa tumekutanaaaaa wote wapole watararibuuuuu hatuna hulka wa paparaaaaa
Nakupenda sana Smart911 wamie
Kazini ulipo pokea my kisses
Muah muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah


Smart911 wangu Amich you already
hii sentensi unavyoikopi na kui pest maana yake ni kuwa hilo penzi ni maigizo matupu.
sasa hivi mwenzako anampa mtu maviuono huko na ww unamuambia apokee kiss.. wanaume huwajui vizuri wewe mahondaw
 
Aisee....kumbe hum wamo...

Na mm natafuta mke...am 31yrs old..kaz yangu n kudunduliza kitaa....

Nnachokichukia hapa dunian kuliko chochote n umackn...!
 
Pia kuna special day Friday ni full rahaaa mnaanza na..... Then mnaenda kwenye vinywaji unakunywa chochote kile kampuni inalipa khakhaakh ......

Hapa naomba Smart911 The small boss mwenyewe aje atoe mwongozo vizuri hapa nisiwe Msemaji sana
Mengine Wacha nifunge domo langu mie
Safi Mahondaw... Haipendezi wanawake kuongea sanaaa...... Wanapendeza kufanya sanaaa.
 
Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za kumbembeleza akashindwa kabisa kunikubali pengine baada ya kujua biashara yangu ( kuuza na kusambaza majeneza, sanda na vifaa vyote vya kuzikia).

Nilitumia kila njia kumbembeleza pamoja na kuahidi kumwoa na kumpa kila atakachotaka lakini ilishindikana. Kama ujuavyo kila jambo hupangwa na Mungu, kuna member waliokuja Pm ili kutaka japo kunifariji.

Mwisho wa yote kuna mdada mmoja akavutiwa na mimi na kuanza mawasiliano ambapo baadae tulikubaliana kuonana nikamtumia nauli akaja Dom tukafahamiana she is naturally beauty na amekubaliana na maisha yangu na tuko katika maandalizi ya kwenda kweo kutoa posa.

Nimeamini kwamba sio kila mwanamke aliye JF ni malaya au mchunaji kuna wanawake wako serious kuolewa. Ningemtaja lakini kulingana na umaarufu wake hapa jukwaani sintomtaja mapema mpaka tukishafunga ndoa. Ana elimu nzuri na ni mwajiriwa serikalini na ameikubali kazi yangu.

Nawashukuru mods na waanzilishi wa JF pamoja na wote mlioniombea mema.
Yaani ulimtumia mtu usiyemjua nauli?, kweli ulikuwa na roho ngumu kama ya paka
 
Back
Top Bottom