Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

View attachment 2961397
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na wewe, na daima kua muaminifu sana, shirikiana na wanachama wengine wa CCM katika kuifanya CCM na serikali yake, kua imara zaidi na yenye nguvu kuliko vyama vingine vyote humu nchini.

Na uhakikishe una itetea ccm, una ielezea ccm na kushiriki vyema kuinadi itikadi na ilani bora kabisa ya CCM popote pale unapo pata nafasi ya kufanya hivyo 🐒

Kidumu Chama Chama cha Mapinduzi Janeth Thomson Mwambije
 
Umejiunga jana tu.

Na leo umeamua kujiripua.

Utawezana na mabaharia wa hapa maana naamini tayari PM kwako kumeshajaa wageni.

Ila hongera kwa kutimiza haki yako ya kikatiba ya kujiunga na chama cha siasa cho chote ukipendacho. Jitahidi sasa uwe mzalendo kwa nchi yako na watu wake!
 
Kila la kheri
Natumaini utatuvutia labda na wengine kama mimi tujiunge nawe huko.
 
Back
Top Bottom