Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Hamjatosheka kujaza mamluki maana ikikaribia uchaguzi mamluki mnajazwa humu!
813152209.jpg
 
Hongera, pambana....binafsi huwa naona watu wenye jina "Janeth" huwa wana bahati, wengi wao.

Komaa humo kwenye chama ujipate
 
Siku nyingine usimhusishe Mungu na vitu vya Kijinga. Ni Ushauri tu.
 
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na wewe, na daima kua muaminifu sana, shirikiana na wanachama wengine wa CCM katika kuifanya CCM na serikali yake, kua imara zaidi na yenye nguvu kuliko vyama vingine vyote humu nchini.

Na uhakikishe una itetea ccm, una ielezea ccm na kushiriki vyema kuinadi itikadi na ilani bora kabisa ya CCM popote pale unapo pata nafasi ya kufanya hivyo 🐒

Kidumu Chama Chama cha Mapinduzi Janeth Thomson Mwambije
Acha kumdanganya mwenzako.
 
Back
Top Bottom