Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Sawa, ila msimtumie vibaya. Mtumieni vizuri.
hapo mbeleni kidogo,

kijana akizoea vizur kazi na kukomaa kidogo, tutampatia ujumbe maalum wa chama kutoka juu, akuletee kamanda, na mfanye mazungumzo kidogo, na ndio sasa tuone namna, tufanye kazi pamoja na kusonga mbele kwa umoja πŸ’
 
Duh kuwa mwanachama wa ccm hadi upate kibali toka kwa Mungu???
Kama ni kweli nchi hii ingekuwa mbali kimaendeleo na Wala tusingekuwa na mikataba ya 'chifu mangungo wa msovero ' kwenye sekta mbali mbali!!!
 
Hongera but Sio necessary kutangaza hapa, and with or without Mungu ungepewa kibali tu. After all ni matakwa yako mwenyewe

Uko sahihi mkuu. Kwa kweli hapa Mungu sidhani kama anahusika.
 
Wazee wa Kula tunda kimasihara cease the opportunity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…