matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni.
Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya vipindi vyao vinavyohusisha kucheza miziki, kuimba, kunywa vileo na vinyweo, kubadilishana mawazo na kupiga kelele kama sehem ya furaha Yao kupitiliza. Mambo Yao wanafanya kwa consistently ya hatari.
Nikajiuliza Mbona Mimi Sina consistently(uendelevu) kwenye ratiba za mikesha yangu binafsi ya Kiroho kama wale mabingwa. Hilo suala nimejikuta limimenipa motisha kubwa kiroho.
Kwa Sasa kama wao wanakesha siku Tatu kwa siku kwa wiki, na Mimi mara moja kwa wiki lazima nakesha usiku kucha kama wao. Kama wao Ila Mimi nikiimba nyimbo takatifu (Hymnals) zaidi ya 30, nikiongea na Mungu, nikiandika ideas na mafunua mapya ninayopokea, nikiombea marafiki zangu, familia, ndugu, na wanaopenda niwasogeze Kwa BWANA, nikisikiliza Mambo makubwa yenye kuchallenge akili yangu na kufumuafumua mitazamo duni niliyorithishwa na jamii na tamaduni za kidini.
Nimeuboresha huu mikesha kwa kuwa na kipindi cha kunywa vinywaji rafiki (Juice na maji), Kula mbegumbegu (korosho/Karanga/Pistasho/Almond/Walnuts), na masorotojo mbalimbali ili nisiboreke kama wale jamaa.
Asubuhi na mapema namaliza kwa Kula viapo vitakatifu na kuwa na Maombi maalumu ya kukataa unyonge, kuonewa, kumasikini, ujinga, magonjwa, mane no hasi, procrastinations n. K
Namshukuru Mungu Sana kwa hii bar na huduma zake maana kwangu imenifanya niboreshe KPI zangu za Kiroho. Nimekuwa sugu na mwenye shingo ngumu kwenye Mambo ya Mungu.
Ni hayo tu.