Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Ndoa ni nzuri iwapo utampata mwanamke sahihi anejitambua na anajua nafasi yake kama mke sasa huyo alochapiea alikosea kuoa limbukeni...huwezi kusema alioa mke...mwanamke ambae unakutana na mtu humjui unaanza kuzunhumza udhaifu wa mumeo na k unampa
Kama sio story aisee hizi Ndoa Mungu akaonekanee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sipati picha kama jamaa liechapiwa nae yupo humuuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumdunda ila siku hiyo angechezea za kutosha, hadi angeenda kutoa ushuhuda kwa shoga zake kwa kilichompata.

Yaani mke anakujia saa tano usiku huku ananuka mipombe, halafu hujui hasa alikuwa wapi, dadeq siku hiyo angeona upande wa pili wa shilingi.
 
Ukimdunda inasaidia Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👏👏👏
 
Kwa kweli aisee... Usijekuona mwanamke mzurii shape analoo lakini anachomwa na jua kwa kudanga haolewii... sasa wewe jichanganye ubebe uweke ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna rangi ya hasira na maumivu utaacha onaa walahii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yako yaan umedanganywa kweupe, huyo ni changu tu wa kitaa, mtu unaishi Africa sana unasari st peter bila sababu, yaan we ndo umecjezewa tu huyo ni malaya wa ambiance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umetusimulia stori nzima ya uzinzi mliofanya ya nini? Tena siku takatifu na mmetoka kanisani? Kama lengo lako ni kumtafuta mtu hiyo stori yote ni yanini
 
Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?
Mkuu kilichokufanya uamini kilichoandikwa ni nini!?? Kwanza maelezo yenyewe ni ya upande mmoja. Hakuna uthibitisho wowote kuonyesha km kweli alikuwa mke wa mtu. Maana hapa mjini kuna kila aina ya utapeli.

Kumbuka mdada mwenyewe amekutana naye kanisani tena siku ya jtano ya majivu,ulitaka aseme nn ili kumlaghai huyu boss!?? Unajua km angesema yupo single thamani yake ingeshuka sana...hivyo huenda alisema ameolewa ili kujiongezea soko na kitendo cha kumponda mumewe ilikuwa sehemu ya igizo.

Lkn hata km kweli alikuwa ameolewa,kumponda mwanaume wala siyo issue kwa sababu mume mwenyewe hatajua. Atabaki anajua huyu ambaye anafanyiwa hayo ili atoe pesa zaidi. Na habari njema zaidi ni kwamba 79% ya wanawake ambao huwa wanachepuka,baada ya tendo lile huwa wanajuta! Hivyo akirudi nyumbani muda wote huwa wanajisikia wakosaji. Na hivyo kuongeza upendo kwa mume.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…