Namtafuta Mama Yangu popote alipo

Namtafuta Mama Yangu popote alipo

Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.

Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?
Sasa unasema unamtafuta mama Ako na huweki majina na vigezo,

Anyway hii ni afya ya...... Nisimalizie
 
Anhaa ko uki mwambia mambo au mipango yako, yeye ana isema?

mbona sababu nyepesi Sana hii.
Mkuu ni zaidi ya hivyo yaan sijui nikuelezee vipi uelewe kuna watu hatupendi kujianika anika mambo tunapenda kufanya vitu kimya kimya bila kujitangaza kwa watu sababu nimekulia katika makuzi hayo, mimi ni mtu mkimya sana sio muongeaji mzuri muda mwingi napenda kukaa peke yangu sio mtu wa marafiki na sio mtu wa kujitangazia mambo yangu kwa watu ikifika hatua nikikwambia jambo langu linalonihusu basi wewe jua nimekuamini kwa asilimia nyingi na una nafasi kubwa yenye kwenye maisha yangu kwamba hutolitangaza kwa mtu mwingine linabaki kua letu wewe na mimi sio litoke nje, sasa Mama huyu hio kitu hana ukimwambia kitu tu anapita kuropoka kwa kila mtu
 
Back
Top Bottom