Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
Roy Maganga kweny sitosahau alikua safi sanaa... Sky walker
 
Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
Ongeza na Jacob Usungu, RFA hiyo ilitisha. Crue hii imefanya niwe naifutilia Radio yao mpaka leo.
 
Nyuzi zinazoongelea watangazaji wa RFA wa zamani ni Nyingi JF.
Inaonesha walifanya kazi nzuri.

Ilikuwa ukiwasha redio kuanzia saa 11 alfajiri.
Huhami stesheni mpka saa nne usiku.
2000-2010 hiyo ndiyo ilikuwa radio pekee isiyochosha kusikiliza ilikuwa na vipindi vya maana sana unaweza usizime radio hata mwaka mzima na hautaboreka.

Achana na haya magenge ya betting ya siku hizi
 
Nyuzi zinazoongelea watangazaji wa RFA wa zamani ni Nyingi JF.
Inaonesha walifanya kazi nzuri.

Ilikuwa ukiwasha redio kuanzia saa 11 alfajiri.
Huhami stesheni mpka saa nne usiku.
Ndio ilikuwa radio bora Tanzania iliyokimbiza baada ya kuupora ufalme wa redio one, iliendelea kukimbiza mpaka Clouds FM aliposhika hatamu na kuupora ufalme wake na hii ni kutokana na Clouds FM kuwasha mitambo kwenye mikoa mingi sehemu ambapo mwanzo haikusikika

Kwa sasa radio inayokimbiza ni Wasafi
 
Umekosea radio bora kwa sasa ni clouds fm and no more ubishi uishe ila kipindi kile kulikua na radio pacha kiss fm ilikua laana nanusu JK(John Kalani).Hassan Wibonela (D7) Marehem Mabovu hakika mziki ulikua laana nanusu ule yai lilitoka mule lilikua likinikosha sana
 
Zuberi Msabaha
Baruan Muhuza
Jacob Sungu (young millionaire)
Jumaa Baraga za
Fred Fidelis (kidubway)
Doi Kududye
Hamisi Dambaya
Hassan mvula
Mkamiti Juma
Rahabu fred
Glory Robinson
Joan Tanisa
Fatma Shemweta
Prince baina kamukulu
Roy mlalilki Maganga
Sam Kiama
Nevil Meena
Ivona Kamuntu
Raymond Nyamwihula
Gabriel Zakaria
 
Zuberi Msabaha
Baruan Muhuza
Jacob Sungu (young millionaire)
Jumaa Baraga za
Fred Fidelis (kidubway)
Doi Kududye
Hamisi Dambaya
Hassan mvula
Mkamiti Juma
Rahabu fred
Glory Robinson
Joan Tanisa
Fatma Shemweta
Prince baina kamukulu
Roy mlalilki Maganga
Sam Kiama
Nevil Meena
Ivona Kamuntu
Raymond Nyamwihula
Gabriel Zakaria
Fred Fidelis a .k.a Fredwaa
Sandhu George Mpanda a.k.a Kidbway huyu ni mzalishaji wa mziki nadhani ndani ya Tetemesha Records.
 
Back
Top Bottom