Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
ha ha ha, moyo unatesekaNipo ila nina mahusiano serious maana ninaishi na baba mtoto wangu. Tuna mtoto wa kiume japo hatujafunga ndoa ya kanisani. Kwakweli mahusiano yetu yamejaa amani na furaha tele. Kila la heri dear ex
Mmhhhh!!!!!!Ndio mkuu, ila nimetokea tu kumkumbuka
ha ha ha unaweza kukutana na sauti ya kiumeAkutumie voice note?
Sore dia ex mwenzako niko salama mambo ya mastresi nishasahau hizo zama eehh zamaha ha ha, moyo unateseka
Kweli mkuuHiyo ni hali ya kawaida sana unapokabili changamoto za mahusiano. Huwa tunawakumbuka sana wale tuliokuwa nao zamani. Lakini hilo sio suluhisho, kwa kuwa hata ukimpata huyo Neema mkarudiana, baada ya muda unaweza kuona huyu ulie nae sasa ni nafuu kuliko hata huyo Neema! Kumbuka kuwa Neema hukuwahi kuishi nae kama huyu wa sasa, kwa hiyo kuna mengi juu yake hayakujitokeza kwako, unakumbuka mazuri tu aliyokuonyesha
Yeah Facebook huwa inakutanisha watu sana sana
Jina la pili ndio silifahamu
Ilikua zamani, wakati yupo old Moshi hakua hivi. Amechachuka baada ya kuniacha mie na kuparamia kina mwajuma ndala ndefuNimechoka, so huyu kijana asiyetulia amekupitiaga?🤣🤣🤣
Mbona huyo neema anauza mbususuHuyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.
Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.
Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.
Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.
Popote ulipo, naomba ujitokeze.
Dahh demu wako usimjue hata jina la pili...? Tena ulipanga uje umuoe....Haukuwa seriousJina la pili ndio silifahamu
Ha ha ha, nipo hapa nakusubiri; ukitaka furaha ya mpaka milele njoo hukuNaomba usiendelee kunikumbusha mbali, nilikupenda sana sikuamini ulivoniacha kwenye mataa vile... Nashukuru nimempata ubavu wangu nipo nalishwa vitamu 😁
Nielekeze njiaChalii mletee bibi yangu mahari yake ale kabla hajafa
Aah we tulia endelea kutupuna mapoyoyo humu.Nilishaolewa dear, maisha mema nakutakia
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.
Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.
Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.
Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.
Popote ulipo, naomba ujitokeze.
Tunaishi mara moja mkuu, furaha ni muhimuMmhhhh!!!!!!
Sawa, Neema wangu ngoja niendelee kutesekaSore dia ex mwenzako niko salama mambo ya mastresi nishasahau hizo zama eehh zama
Utadanga wewe my wanguAah we tulia endelea kutupuna mapoyoyo humu.
Uolewe nani adange sasa