Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Nipo ila nina mahusiano serious maana ninaishi na baba mtoto wangu. Tuna mtoto wa kiume japo hatujafunga ndoa ya kanisani. Kwakweli mahusiano yetu yamejaa amani na furaha tele. Kila la heri dear ex
ha ha ha, moyo unateseka
 
Hiyo ni hali ya kawaida sana unapokabili changamoto za mahusiano. Huwa tunawakumbuka sana wale tuliokuwa nao zamani. Lakini hilo sio suluhisho, kwa kuwa hata ukimpata huyo Neema mkarudiana, baada ya muda unaweza kuona huyu ulie nae sasa ni nafuu kuliko hata huyo Neema! Kumbuka kuwa Neema hukuwahi kuishi nae kama huyu wa sasa, kwa hiyo kuna mengi juu yake hayakujitokeza kwako, unakumbuka mazuri tu aliyokuonyesha
Kweli mkuu
 
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
Mbona huyo neema anauza mbususu
 
Naomba usiendelee kunikumbusha mbali, nilikupenda sana sikuamini ulivoniacha kwenye mataa vile... Nashukuru nimempata ubavu wangu nipo nalishwa vitamu 😁
Ha ha ha, nipo hapa nakusubiri; ukitaka furaha ya mpaka milele njoo huku
 
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
IMG-20220918-WA0128.jpg
 
Back
Top Bottom