Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Kwamba maitaji mengine yote uwa una msaidia kasoro moja tu.. ninge penda kukusaidia ilo moja tu mengine uendelee nayo apo vipi?
 
Sifa moja tu sina. Sio mwislam ila nlitaman kuwa na mke mdogo na ningemlea huyo mtoto kama mwanangu. Japo naupenda uislam ila sitaweza kusilim
 
sawa ikibidi nitakujulisha
 
Kwamba maitaji mengine yote uwa una msaidia kasoro moja tu.. ninge penda kukusaidia ilo moja tu mengine uendelee nayo apo vipi?
hili moja la kusaidia huwa halifanyiki kiholela lazima liendane na utaratibu maalum.Hayo mengine hayana shida hata wewe ungeweza kufanya kama nimeshindwa.
 
Sifa moja tu sina. Sio mwislam ila nlitaman kuwa na mke mdogo na ningemlea huyo mtoto kama mwanangu. Japo naupenda uislam ila sitaweza kusilim
Kama unaupenda uislamu hii ni fursa itumie.Utapata vitu viwili na mahari tutakupunguzia.
 
Kama anaasili amayo sio ya kitanzani Njoo chap PM Mimi ndoto yangu ni kuoa nje ya TZ
 
🤣🤣🤣 Nilitaka kukomenti picha? Ila nimeahirisha
 
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.[emoji848]
 
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.[emoji848]
Kumekucha🤔🤔
 
Wewe unataka nini kwetu? Wanaume tutafika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…