Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
nadhani watakuwa walikuchanganya na mtu mwingine.....sa eti wanasema mi hwa naendaga kule jukwaa la down!
kweeeli dada mkubwa mi ulishakutana na mimi kule?
sema wewe!
nadhani watakuwa walikuchanganya na mtu mwingine.....
huko huwa hatuendagi mbona
ha haaaa, hatujui sisi nadhani huyu pacha wako....SI NDIO hapooooo !
ila dada mkubwa pacha kaondoka bila kuniruhusu niseme nilikuwa wapi
yani ye kasema tu nimekusamehe!
sasa si atakuwa kanisamehe kosa na kwenda kule chini wakati mi huwa sikwendi!
mi nataka anisamehe kwa kosa nililofanya banaaaaaaa
mbona hanipi muda wa kuielezea
nisaidie kuniuliziamo kwa SnowBall
mi sitaki kusamehewa kosa nisillolifanya ujue!
ha haaaa, hatujui sisi nadhani huyu pacha wako....
sisi ni wepesi sana wa kusamehe, but tunataka tujue kosa tunalosamehe.
sasa yeye anasamehe bila kujua kosa? sasa amesamehe nini?
Sasa ndio useme ulikuwa wapi maana haiwezekani pacha wako asijue ulikuwa wapi siku zote hizo eboo!si ndio hapoooooo
pachaaaaaaaaaaaaa I NEED AN AUDIENCE!
huwezi tu kusema umenisamehe wakati hujui nimekosea nini!
MI SIKUBALI! SnowBall ukuje uniruhusu niseme nilikuwa wapi!
manake watu washapakaza sana hapa!
af dada mkubwa leo ndo nimejua wabaya wangu wakiongozwa na binamu yako sijui mdogo wako Erickb52 ye ndo kasem mi nimewekwa kinyumba!
pacha wangu kanuna!manake hajapokea libeberu sasa nawekwaje kinyumbaa!
nipo mdogo wangu....Sasa ndio useme ulikuwa wapi maana haiwezekani pacha wako asijue ulikuwa wapi siku zote hizo eboo!
Nimemmiss sana dada yangu Fixed Point
Ni zamani sana tangu nionane nae...pia wewe snowhite ulipotea sana....tafadhari rudi usipotee sana
Halafu lile file la Mtambuzi umeshalikamilisha ili tuanze kusanya?
Kama bado fanya kifastjet basi maana si unajua tena Christmas ndiyo kwanza inakaribia?
Sitaki tena uniingize tena kwenye choo cha stendi kama Chistmas ya mwaka jana.
Safari hii lazima niwe na some snowhite and SnowBall on my Christmas tree!
Halafu kuna potential client kwa jina Block City anataka aunganishwe kwenye kesi kama mlalamikaji.