Zee la Masonko
Member
- May 1, 2015
- 26
- 54
Siyo enzi ukajoin 19 Tulia hujui kitu bwana mdogo2015 ni enzi
Anamanisha enzi za uyo jamaa apo kwenye avatar yako mkuu[emoji28][emoji28]2015 ni enzi
Ulikuaga wapi mkuu toka 2015 almost 8yrs until now umerudi tena?
Wewe si ulikula Ban ya mileleIzo 'emoji' za nini Sasa?
Idiot kabisa.
Sawa najua mlishamteka na inawezekana mmesha mfanya anisahau Shunie wangu jamani looo!!Ninae huku,subiri akiamka nimuonyesha thd yako jinsi unavyoota bila kulala.
Mwambieni bado nampenda yupo moyoni kindakindakitayari kaisha comment kwenye uzi wako sema saivi ana ID MPYA