Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Status
Not open for further replies.
[mention]Shunie [/mention] kama [mention]Shunie [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wewe una lako jambo na muda utaongea.
Umejiunga 2015
Umeanzisha uzi mmoja na huu ni wa pili.

UMechangia nyuzi mara 15 tu ukijumlisha na posts za leo.

Tatu Shunie yupo kila siku jukwaani wala sio wa kuanzishia uzi.

Ok tutajua ulilolipanga
Nimeewaza kama hivi
 
Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF

Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana.

Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana.

Naombeni msaada wenu Wana JF nammisi Sana Shunie. Aani unampenda mtu ata humjui moyo kitu Cha hovyo Sana looo!!
Alishavuta muda. Pole sana
 

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii niliotoa kwa niaba ya cousin angu mmoja alikuwa teacher songe sec huko Musoma but ni Kitambo Leo ana mke na watoto ni mkufunzi Sasa Butimba mwanza loo kipindi Hiko alinitumia kupost vitu vingi Sana kuhusu kada ya uwalimu maana ndiyo alikuwa ameripot kazini Songe High school Musoma ni girls hiyo shule Kama sikosei ata ukipitia thread zangu nyingi utaona japo Nyingi zaidi nilizifuta kipindi Max mmiliki wa JF ameingia mzozo na serikali ya Magufuli.

But suala langu la kumtafuta Shunie haliwezi kufifishwa katu
 
Hataki kuja mkuu, inabidi ufanye maombi kwa siku saba; funga siku 7 usile chochote muujiza utakutokea.
 
Sikuwahi kula ban .Namtafuta Shunie wa ubani nimeshindwa kumsahau Mara ya mwisho kuwasiliana nae humu JF ilikuwa 2016 mwishoni Kama sikosei japo Sina kumbukizi vizuri but she is my favorite girl since 2015s up to day🌹🌹🌹
Ngoja waje wakupe muongozo...🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom