Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hiyo ID yako ya mwaka 90 tuoneunafikiri watu wana id moja.ndivyo akili yako inavyokutuma
Yupo,atakuja Sasa hiviNisaidie kumtafuta 🤟
Nimeewaza kama hiviWewe una lako jambo na muda utaongea.
Umejiunga 2015
Umeanzisha uzi mmoja na huu ni wa pili.
UMechangia nyuzi mara 15 tu ukijumlisha na posts za leo.
Tatu Shunie yupo kila siku jukwaani wala sio wa kuanzishia uzi.
Ok tutajua ulilolipanga
....
....
Shunie bi dada, hebu njoo huku uje unieleze huyu jamaa ana mpango gani na ndoa yetu?
Sijui una shughuli gani huko ulipo kijijini, ila ghafla moyo unaniuma mwenzako!
?? ,hivi mtafutwa kajitokeza?….?!!
?? ,hivi mtafutwa kajitokeza?
Hahahaha,we utakua unajua jambo ,kuna ulicho uliza hapo juuBado sijui atakua anakagua mafile yake, km hilo jina lipo au bwana shemeji anataka kuleta janja janja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alishavuta muda. Pole sanaWakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF
Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana.
Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana.
Naombeni msaada wenu Wana JF nammisi Sana Shunie. Aani unampenda mtu ata humjui moyo kitu Cha hovyo Sana looo!!
Hii niliotoa kwa niaba ya cousin angu mmoja alikuwa teacher songe sec huko Musoma but ni Kitambo Leo ana mke na watoto ni mkufunzi Sasa Butimba mwanza loo kipindi Hiko alinitumia kupost vitu vingi Sana kuhusu kada ya uwalimu maana ndiyo alikuwa ameripot kazini Songe High school Musoma ni girls hiyo shule Kama sikosei ata ukipitia thread zangu nyingi utaona japo Nyingi zaidi nilizifuta kipindi Max mmiliki wa JF ameingia mzozo na serikali ya Magufuli.
Ngoja waje wakupe muongozo...🤣🤣🤣Sikuwahi kula ban .Namtafuta Shunie wa ubani nimeshindwa kumsahau Mara ya mwisho kuwasiliana nae humu JF ilikuwa 2016 mwishoni Kama sikosei japo Sina kumbukizi vizuri but she is my favorite girl since 2015s up to day🌹🌹🌹
Kiaje tenaNgoja waje wakupe muongozo...🤣🤣🤣