Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Status
Not open for further replies.
Wakuu kidogo nimefarijika kuona tena jina la Shunie 🌹

Ila kinachoniumiza kwanini hataki kujua Mimi ni nani kwamba amesahau ata conversation zetu Kule inbox za enzi hizo tunapendana😭

Kingine kwanini hajaonesha ata kushituka na kuishia ku like tu meseji zangu na kucheka Sana😭

Then kwanini atumie watu waniulize Mimi ni nani kwanini asije mwenyewe inbox kuniuliza. Maana kumbukumbu zipo huko😭

Mwambieni bado nampenda Shunie 🌹

Ninachoomba ata anikumbuke tu inatosha picha zipo inbox aje mwambieni nampenda🌹
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom