Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwani we jinsia gani?Bora tu nipewe jinsia ya kike kwa Shunie nilishaga kufa😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we jinsia gani?Bora tu nipewe jinsia ya kike kwa Shunie nilishaga kufa😭
Nimecheka kwa sauti jamani 🤣🤣🤣🤣huu sasa ni ujinga.
Mkuu kama mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa 2016 ina maana kama alipata tulizo lingine la moyo basi hata mtoto wao atakuwa darasa la pili mwaka huu🙌Since 2016😭
Unique Flower soon namfungulia uzi mpaka dawa imuingie😂Nimecheka kwa sauti jamani 🤣🤣🤣🤣
Nasubiria huo uzi wakoUnique Flower soon namfungulia uzi mpaka dawa imuingie😂
tuma picha yako😁Nasubiria huo uzi wako
Unajua ID ya Shunie imenadilika na kuwa Mzigua90Wakuu kidogo nimefarijika kuona tena jina la Shunie 🌹
Ila kinachoniumiza kwanini hataki kujua Mimi ni nani kwamba amesahau ata conversation zetu Kule inbox za enzi hizo tunapendana😭
Kingine kwanini hajaonesha ata kushituka na kuishia ku like tu meseji zangu na kucheka Sana😭
Then kwanini atumie watu waniulize Mimi ni nani kwanini asije mwenyewe inbox kuniuliza. Maana kumbukumbu zipo huko😭
Mwambieni bado nampenda Shunie 🌹
Ninachoomba ata anikumbuke tu inatosha picha zipo inbox aje mwambieni nampenda🌹
Ninayo kiasi chura na mie nimrembo haswa 😂 ila sasa hadi nikubali nikazituma picha yako😁
kama huna chura itapendeza zaidi😋
ah nimezidi kukupendahadi nikubali nikazi
Wewe ni mbeya jana ndio nimehamia dar rasmi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mbeya jana ndio nimehamia dar rasmi
Umejuaje kua wewe ni mrembo?Ninayo kiasi chura na mie nimrembo haswa 😂 ila sasa hadi nikubali nikazi
Alishindwa kumtongoza FaizaFoxy ndio akaja kwa Shunie pasipo kujifunza upya how to kutongoza 😂Unataka usaidiwe kutongoza mkuu?
Ngekewa huwa haiji mara mbili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unataka aanze kunidai mimi penzi lake la zamani naona
Wewe sio gentlemen??Umejuaje kua wewe ni mrembo?