Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Status
Not open for further replies.
Since 2016😭
Mkuu kama mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa 2016 ina maana kama alipata tulizo lingine la moyo basi hata mtoto wao atakuwa darasa la pili mwaka huu🙌

Nadhani busara umuache ili usimuharibie kwa Mwanaume aliyenaye sasa.

Wanasema mavi yakale hayanuki 🤪
 
Wakuu kidogo nimefarijika kuona tena jina la Shunie 🌹

Ila kinachoniumiza kwanini hataki kujua Mimi ni nani kwamba amesahau ata conversation zetu Kule inbox za enzi hizo tunapendana😭

Kingine kwanini hajaonesha ata kushituka na kuishia ku like tu meseji zangu na kucheka Sana😭

Then kwanini atumie watu waniulize Mimi ni nani kwanini asije mwenyewe inbox kuniuliza. Maana kumbukumbu zipo huko😭

Mwambieni bado nampenda Shunie 🌹

Ninachoomba ata anikumbuke tu inatosha picha zipo inbox aje mwambieni nampenda🌹
Unajua ID ya Shunie imenadilika na kuwa Mzigua90
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom