Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Status
Not open for further replies.
Ulitumia makosa kutofanya nae mawasiliano kwa kipindi hicho, maana nakumbuka tulikuwa na fursa kubwa ya kuanzisha mahusiano nje ya jf. Kwa sasa utapata wakati mgumu sana kumpata Shunie, ila pole kwa kumkumbuka bidada wa watu.
 
Wewe una lako jambo na muda utaongea.
Umejiunga 2015
Umeanzisha uzi mmoja na huu ni wa pili.

UMechangia nyuzi mara 15 tu ukijumlisha na posts za leo.

Tatu Shunie yupo kila siku jukwaani wala sio wa kuanzishia uzi.

Ok tutajua ulilolipanga
Noma
✍️
 
Sema unatafuta Pisi kali
 
Shunie kabanwa na majukumu jumba jeupe. Subiri amalizane na hekaheka za stendi ya bahari.
 
Wewe una lako jambo na muda utaongea.
Umejiunga 2015
Umeanzisha uzi mmoja na huu ni wa pili.

UMechangia nyuzi mara 15 tu ukijumlisha na posts za leo.

Tatu Shunie yupo kila siku jukwaani wala sio wa kuanzishia uzi.

Ok tutajua ulilolipanga

Mtu wangu umetoka kifungoni??

Nilikumiss [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…