Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Awe mshabiki wa Simba
 
Mwanaume mwenye miaka 35, anayejielewa, mwenye focus na maisha hawezi kuunganishiwa mwanamke.

Labda kama ni member wa kula tunda kimasihara na Mkataa ndoa hapo sawa.

Akibaki na ivyo vigezo rafiki yako atapata mwanaume marioo au akubali tunda liliwe kimasihara
 
You’re insane as I told you...Mungu akunusuru na hilo pepo chafu na hakika huna lolote zaidi ya huo ujuaji wako na upumbavu wa fikra ulizonazo...Mungu akusamehe bure kwani hujui unenayo yakudhirisha kwa kiasi gani
 
Je huyo mrembo ni mpenzi wa simba aua yanga...nijue kabla ya kirusha ndoano plz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…