Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Wanaume tunatafutwa kama hela kudadadeki, huyo dem asiwe na deni la bodi ya mikopo niunganishe nae na awe na kipato cha kueleweka sio mbambamba ategemee hela zangu kila kitu ninganishe nae.
 
hahahaha unajua kila mtu ananjia zake huwezi jua labda mimi nikawa daraja lake..maana hata leo kanikumbushia...
Wanaume wanaogopa watu waliowazidi vitu fulani labda shoga ndo anapokwama hapo..
Ila humu kuna watu wapo aggressive na wana uthubutu
Asee umri tu ndiyo umeniangusha nimekosa dodo hilo
 
Ukweli mtupu. Huyo akubali tuu kutulia na kina mzabzab lakini sio wanaume makini na mwenye focus na maisha
 
This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
Vimbaaa mzee baba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Acha uharibifu
Masikhara pembeni mwanaume ssrious na maisha hawezi tafuta mke wa kuunganishiwa rafiki hizo ni somjo tuu. Ukiwa serious wanawake wanajileta wenyewe unajichagulia tuu.
Wee kama unataka rafiki apate mtu nipigie pande mie mzabzab. Ataenjoy maana wote sie wananchi. Full kwenda taifa tuu
 
This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
Kabisa mwanawane yaani ata mie imenipa nguvu ya kumnyima huyu pisi kali hela ya kwenda out. Kumbe tunaweza anza kutafutwa muda wowote ule
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…