Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Hamna mwanaume rijali mwenye uthubutu wa kuhangahika na vikaragosi vya mtandaoni umechemka wewe mwanamke na as far as you go you’ll got what you deserve...Watch and learn
 
Duuh mkuu unanikosea heshima sana kwa sbb ya mihemko yako...hivi unanijua au unanisikia?...wewe utakua umevurugwa sio bure...kinachokukera ww ni nini haswa? Unalazimisha niweke details za mtu hapa ambazo ziko sensitive una akili wewe? Maana ya Pm ni nini? Kwahyo ulitaka niweke nikufurahishe ww...mimi humu sitafuti bwana labda kwamba ukinitukana nitashtuka..kwa taarifa yako watu hawafanani huyu anaweza pata mume humu kila kitu kinakuja kwa jinsi yake sio lazima unavyofikiria wewe..
Mpuuzie my dear Simba mwenzangu.
 
Wewe karume kenge ndo umechemka kukurupukia mada na ishu zisizokuhusu...ww huna mke, huna demu, huna lolote...endelea kuliwa tuu.
Nitakupa mrejesho siku wanafunga ndoa mimi nikiwa mwenyekiti wa kamati na mtu wa humu....
I pray for her happiness coz me I conquer it all....
📌
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Mtani, hii sifa....... ana kampuni yake. Is she serious?
 
Huku hamnaga taarifa za mialiko ya harusi wala, ni watu wakipatana na wakiachana tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom