IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Hamna mwanaume rijali mwenye uthubutu wa kuhangahika na vikaragosi vya mtandaoni umechemka wewe mwanamke na as far as you go you’ll got what you deserve...Watch and learn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anaringa vibaya sana. Especially anapojua anahusudiwa
Huo ndio msemo wenu sikuzote kwa sababu hampendi kuambiwa ukweli pale mnapokosea....Seems una mental health...pole seek help
Mpuuzie my dear Simba mwenzangu.Duuh mkuu unanikosea heshima sana kwa sbb ya mihemko yako...hivi unanijua au unanisikia?...wewe utakua umevurugwa sio bure...kinachokukera ww ni nini haswa? Unalazimisha niweke details za mtu hapa ambazo ziko sensitive una akili wewe? Maana ya Pm ni nini? Kwahyo ulitaka niweke nikufurahishe ww...mimi humu sitafuti bwana labda kwamba ukinitukana nitashtuka..kwa taarifa yako watu hawafanani huyu anaweza pata mume humu kila kitu kinakuja kwa jinsi yake sio lazima unavyofikiria wewe..
📌Wewe karume kenge ndo umechemka kukurupukia mada na ishu zisizokuhusu...ww huna mke, huna demu, huna lolote...endelea kuliwa tuu.
Nitakupa mrejesho siku wanafunga ndoa mimi nikiwa mwenyekiti wa kamati na mtu wa humu....
I pray for her happiness coz me I conquer it all....
KUmbe...nikajua period zetuHuyo ameolewa
Mtani, hii sifa....... ana kampuni yake. Is she serious?Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.
Sifa zake;
- Mweusi
- Urefu Size ya kati.
- Ana elimu ya degree.
- Ana kampuni yake.
- Ana maisha yake anajitegemea.
- Ana hofu ya Mungu.
- Anaishi Dar es salaam.
Sifa za mwanaume amtakae;
- Yoyote mwenye kujielewa.
- Mwenye kufocus na maisha.
- Umri miaka 35 na kuendelea.
- Dini mkristo.
Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Mwe natamani ningezaliwa 1988 ila dah [emoji5]!ndo basi tena mwambie nampenda pia....[emoji39]
Matusi, fedhea, kiburi na ujuaji mwingi kwa wanawake wanaopenda kushinda mitandaoni hizi ndio tabia mlizonazo hivyo ni ngumu sana kuishi katika ndoa na ukizingatia ndoa nyingi zemegubikwa na shida za namna hii!sijui uoga wako unatokana na nini?