Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! 😹😹😹

Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm 🤣
Kuna wanawake wengi sana waliwakataa wanaume kwa kigezo hawana hisia nao
Wakaenda kwa wenye hisia nao wamezalishwa wameachwa leo tuna single mother wengi sana

Mapenzi ni zaidi ya hisia, mapenzi ni akili
Huwezi elewa sababu bado ni mdogo
Biblia ilivyosema wanawake wadogo wafundishwe kuwapenda waname haikukosea
 
Sema hisia pia ni muhimu,
Imagine uko na mwanamke kama huyu ambae hataki hata kukusogelea akiwa hana hamu ya tendo.
Humo ndani mtaishije?
 
Hata mimi najitahidi kutojibu sms zake na calls zake ila ikitokea tumekutana nasema leo mwisho sirudii tena. Muda huo nakua na hamu nae..!!
lil Uzi ana sema " I like that girl too much, wish I never met her".

sikiliza hii nyimbo Kisha ielewe na yeye mtumie, mwambie you will get over it
Kama ni mtu wa kuji ongeza ata jiongeza.
 
Hongera kwa kuhitimu kozi ya UKAHABA
 
Daaah aisee leo nimemwona mwanamke nilimwona mwakajana alikuwa kijana kuliko mimi ila leo kazeeka kuliko mimi na ana mashozniga usoni, I was amused
Kuna demu mmoja hivi mtaani nilipokulia ni agemate wangu. Alipewa mimba akiwa form 3 tu akajifungua mtoto wa kike. Sasa hivi ashakua shangazi wakati mimi bado yanki kabisa naweza kutoka hata na binti yake na usijue kama namzidi zaidi ya miaka 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…