Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Kwani maisha hayawezi kwenda mpk uwe na mpenzi??
 
Pole sana dada nimewahi kutana na Hali kama hiyo. Kuwa makini sana hiyo ni Spirit ukiendekeza hata ukipata mwingine itakuwa hivyo hivyo utashangaa kila ukipata Hali inaendelea hivyo ,Changamka 35+ ni hatari.Kwa ushauri zaidi DM nimeoa na nimexperience hiyo kitu
 
Naomba niwashukuru wote mliotoa ushauri na wale wenye mizaha, ushauri wenu nitaufanyia kazi..!!
Asanteni sana mbarikiwe.

Nahisi leo kuna kitu kizito sana nimekishusha kilichokua kinaniumiza…!!
 
Kwani maisha hayawezi kwenda mpk uwe na mpenzi??
Yanaenda lakini iyo mentality itoke ndani ya moyo wako na uwe na hobby ambayo umechizika nayo mfano elon musk jamaa ni workaholic mpaka analala ofisini.

Lakini kama mtazamo huo ukiujenga kwa kudanganywa na ego programming inayofanywa kwenye movement za feminism, uko mbeleni utakuja kuishi maisha ya upweke na kujutia maamuzi yako
 
Sawa nitakucheck PM unishauri natamani kutoka kwenye hii hali..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…