Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Chizi Maarifa nlijua tu hamtafika mbali. Na ule ugomvi wenu. So yeye unataka awe ana kugegeda tu kisha basi? Sema na wewe mambo mengi sana.
 
Huyo chizi nini, magoma ya namna hiyo ndio twayapenda sisi, no string attached.. Mnabanjuka kisha kila mtu na lwake, sio kugandana utafikiri maiti na sanda. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

Mkumbushe awe anahudhuria vikao vya KIUMENI.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Maka akili zako unazijua mwenyewe..!!
 
Okay, nitajaribu hivyo mkuu. Asante pia kwa ushauri wako..!!
 
Kama humpendi usiolewe nae. Itaepusha mengi.
Kama unapenda show zake endelea kumtafuta ukihitaji. Ila epuka kutumia pesa zake. Unaweza kwenda mbele zaidi ukamweleza kuwa we hutaki mambo ya ndoa nae. Unaona mpo vizuri tu mnavo kulana nje ya 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ