Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Njoo utoe posa uolewe. Unaona ilivyo ngumu kuiga uana mke? Watu watakuchimbua tu....🤣
Naona umelazimisha kunipa jinsia sio yangu, nimeikubali nakuita nikukaze unaanza kuruka ruka..!! Halafu hii id yako naijua ulikuwa unajichekeshea kipindi kile…!! Sasa endelea nikukaange ukimbilie kwa mods unanijua V
 
Umeongea vizuri mwanzoni ila huko chini umeongea mashudu gentleman 😹😹
 
Yaani nazidi kukuanika kuwa wewe ni mwanaume ambaye unapenda jinsia ya kike. Unavyozidi kuandika una reveal the truth...🤣
 
Yaani nazidi kukuanika kuwa wewe ni mwanaume ambaye unapenda jinsia ya kike. Unavyozidi kuandika una reveal the truth...🤣
Sasa km mwanaume si uniletee kisifuri chako nijipongeze, hapo tatizo liko wapi? Ujue wewe toka dingi yako aukwae hauko vizuri kichwani..!!
 
Ni jamaa anapenda kubehave kama demu.
Njoo sasa nikukaze mbona unaruka ruka km popcorn kikaangoni??
Halafu uje na jipya hii dume ushaiongea huu mwaka wa pili sasa, ishachosha kusikilizwa..!!

Wewe km unataka basha nipo wahi nafasi ni chache, hii kulichezesha kalio lako kila mara humu unaonyesha ulivyo punga usiyejiamini..!!
 
Muweke wazi kuwa yeye ni wa kukata kiu.
Mapenzj ya namna hii yanashamiri sana na wala usiogope. Aamue moja.

Akigoma sambaza upendo kwa terms and conditions
 
Umeongea vizuri mwanzoni ila huko chini umeongea mashudu gentleman 😹😹
sikoseagi mwanzoni wala chini my lady,

na kwanini nikosea mambo ya wazi, bayana ya kibinadamu kama haya?

tunaposema kuvumiliana, kuchukuliana na kustahimiliana madhaifu na mapungufu yetu ya kibinadamu, ndio tunamaanisha sasa kuanzia kwenye mambo na hatua kama hizo muhimu na zinazopendwa pendwa sana katika jamii
 
Hii hali hata sisi wanaume tunayo, binafsi na Mimi ilisha nikuta hapo ukweli mchungu ni unakuwa umpendi ni hamu tu za ngono ndo zinakusukuma,
Tena kama wewe jinsia ke kingine kinachokusukuma kuwa nae hivyo ni pesa zake ukweli tu huo hiko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…