Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Na mimi nipo hivyo, Sina mambo mengi ila sipendi kugandana..!!

Sema umepiga hip hop kali sana, huyo mwanaume sijui km nampenda au simpendi..!! Lakini mbona hata wengine nao nikitaka kuwa nao nashindwa nabaki na yule yule?? Hapo ndio tatizo lilipo.
 
Hiyo mbinu haiwezi kufanya kazi anajua nina nyumba..!!
Kuhusu kumuomba pesa za project/investment yoyote sitaki ataanza kujifanya naye ni business partner atakuwa close na mimi, na hiko kitu sikitaki.!!
 
Na mimi nipo hivyo, Sina mambo mengi ila sipendi kugandana..!!

Sema umepiga hip hop kali sana, huyo mwanaume sijui km nampenda au simpendi..!! Lakini mbona hata wengine nao nikitaka kuwa nao nashindwa nabaki na yule yule?? Hapo ndio tatizo lilipo.
Ishu ni kwamba hujapata aliye click to your soul and mind... Time is still there...


Anyway we never know, inaweza fika muda tukasema huyooo ni chaguo lakoooo .... Huyo ni chaguooo lakooo
 
Lazma umpe mafao yake😁,,, mi ukiniletea huo mchezo nakuroga utaanza kuhangaika wewe sasa. Siwezi kutumiwa kama ndala za chooni mimi.
Ndo home boy kashatumika saana hapa analiwa rada tu amwagwe,, kumbe huwaga kuna raha ya kuchezea mtu kumbe,, yani nimejifanya ndo Lamomy vile nafsi imefurahi kama nitafute mtu wa kumchezea
 
Umeolewa na jini mahaba trust me, yaan utakuwa unaolewa ndoa haidumu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…