Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Ningeshangaa usingehusisha kibamia 😹😹😹
 
Mama malezi kwanini maelezo ni machache? Huwa napenda kusoma gazeti zako hasa kuhusu mada hizi.

Sijapenda, rudia upyaa kushusha [emoji406].
 
Niko serious mama mchungaji, [emoji81]

Nikianza kumuelezea kiundani naona haijakaa poa ( watu wataanza kujifanya mtabiri tambitambi) [emoji1787]

Kumuacha hataki kagoma, labda mnipe mbinu ya kumuacha kistaarabu bila kumuumiza..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapii mtabiri tambitambi,? Udugu una heka heka weyeee.
 
Mi acha nicheke tu
Sina ushauri katibu wangu 😁😁
 
Chuma gani?cha kuweka ndani?
 
Sasa kwa nini unajidai mwanamke? Hujisikii vibaya mwanaume ku act mwanamke? Unalipwa sh ngapi kwa hizo tabia?
 
Maelezo yangeendelea zaidi baada ya kujibiwa maswali. Ila sasa watabiri tambitambi; ikabidi tu tuishie hapa kwanza..
Nilijipanga kusoma gazeti lako hapa, huenda na mie nikapata somo.

Yaan umenichosha ujue, kuna comment ako 1 ninayo nli secreenshot, na niliitumia ktk himaya yangu,matokeo yake, nisiseme sana

Barikiwa mama maleziii, iko siku ntashusha shukrani zangu za dhati kwako.

Nimeamini kila kitu kinawezekana chini ya jua, [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…