Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

πŸ˜‚πŸ˜‚Nani kakudanganya.. miaka hiyo mishangazi ndio unatafuta watu wakusugua visi.mi vzr...yaani kabla halijazamishwa msonobari awe amekojoa 🀭🀭. Basi mwache kijana wa watu Acha kumtumia kisa analulojoza tu...
Sawa mkuu.
 
Afu huwezi amini mwaka huo ndio nilikua daresa la tatu kweli. Miaka 26. Chino nimekua sasa Acha Nitulie na dada ako tu
Chino umepigaje hapo? 😹😹
Mwaka 2000 ulikua std 3 halafu ss hivi una 26yrs 🀣

Mwaka 2000 ulikuwa na miaka mingapi?
 
Nna Tandam langu hilo mwalimu la nursery yani ni 911 nikiita hili hapaa nalichapa naloo lenyewe kikubwa linataka mineso tu hapo simu nyingine mpaka itokee emmergency tena
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Haha
tatizo huanzishi nyuzi pia nilikumiss.
Uwe unanisearch kwenye comments section, nyuzi sipendi kuanzisha kivile..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…