Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Wewe sasa ndio umeelewa ninachopitia 😍😍

Hizo ulizotaja ndio tabia zangu..!! Nitaku-PM unaweza ukanipa ufumbuzi ila sio mbaya km utashare hapa ili wengine ambao wana tatizo km langu wajue wanapona vipi..!!!
 
Babu kwa ninavyomfanyia na kumwambia naona km na yeye kagoma kuniachia..!!
Kutokana na uzoefu niliopata kwenye mahusiano na mapenzi, sihitaji kuambiwa na mtu eti hanihitaji kisha nikakaza fuvu

Wakati mwingine kupitia tu matendo yake tu, nabeba kilicho changu naenda mbele kutafuta Bibi mwingine

Kitendo cha kuendelea kukung'ang'ania wakati humuhitaji, litapelekea aje akudhuru wakati mwingine

Kwani atakuja kukukuta umesimama na Mwanaume unayempenda Kwa dhati akaishia kukuchoma kisu ama kukupiga Risasi
 
Natamani kuongea kitu kwa hii comment yako ila basi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…