Naona huku mtaani wanawake wakiona upo na mkeo ndani mnazalisha kawaida, mna furaha huku maisha yanaenda wanajileta wenyewe ukichunguza unakuta ni upwiru kumbe wanaume mtaani hawafanyi kazi yao vizuri... Shika sana ulichonachoNyie watu leo mkoje khaaa!! 😹😹😹
Hapo kwenye utambi wa koroboi wohi 🤣
Yaani hapa nimekataa ki utu uzima kuwa muelewadear nije inbox tuongee kitu
Sema kitu usiishie kucheka tuu.Comment nilio kuwa naitafuta nimeipata nalala sasa 😂
Sasa ningekua najichua ningemtamani wa nini? Si ningejichua nimalize nitulie 😹Una jini mahaba, acha kujichua au kupenda kuangalia porno.
Shida ipo kwenye ulimwengu wa roho siyo limwengu wa mwili.
Amini kama una hizo tabia za kujichua, kuangalia porno acha mara 1.
Kila la kheri
Lil Wayne anakwambia " when i come i come to my sense"Kipenzi nyegezi kitu kingine ndio maana nimekwambia huyo shem kuna mambo mawili kati ya hayo moja kakosa na ni jambo baya kuingia kwenye mahusiano kwa kutompenda huyo Mwanaume au umpende ila ndo hivyo hajui kukufurahisha kunako sita kwa sita.
Ukute huyo unaye muacha ndio baraka zako zipo hapo Muombe sana Mungu akupe ufahamu .Nitauchukua pia ushauri wako, asante.
Wanawake wote duniani hii ndio kauli Yao Yao ya nguvu ili ukiwa unawala usivae ndomu, kwakweli usiwasikilize vaaa ndomu na iwe muhimu....Tatizo linakuja mimi sio mtu wa kuwa na mahusiano mengi mengi…!!
Nikiwa na mtu basi ni huyo huyo.
Sio hapa nataka nije inbox kuna jambo la muhimu nikuambie dearYaani hapa nimekataa ki utu uzima kuwa muelewa
Asante kwa ushauri nitafanyia kazi mahi barikiwa 😍Sijui utakuwa na shida gani lakini kama una uhakika unampenda usiwe unamwambia kauli za kwamba humtaki
Yeye pia ni binadamu, siku akichoka akaamua kukuacha ama akaamua kuishi kama unavyotaka(Intimacy with no string attached) nakuhakikishia utaumia na kuteseka
Hiyo ni foolish age, utaivuka tu usijali.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Ok liwe na maana kweli tofauti na hapo nakulima brock.Sio hapa nataka nije inbox kuna jambo la muhimu nikuambie dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sio kivilee [emoji81][emoji81][emoji81]
Halafu huwa ananiuliza km nimeenjoy kiukweli nakosa majibu ya kumpa…!!
Kuna ukatuni mmoja nilimfanyia akanishangaa sana..!! [emoji1787][emoji1787]
Nakupa mfano wa binti 1 ana fanya kazi taasisi Moja karibu na sisi, huwa ana Jitahidi kuni zoea na kuni changamkia Ile ya .....Nitauchukua pia ushauri wako, asante.
Block ya nini? Ukiona sio la maana kwako unaniambia nitaelewa auOk liwe na maana kweli tofauti na hapo nakulima brock.
Endelea kukitembeza mremboPenseli huyo utajichosha 😹😹