Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Jamani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ,, acha kupotosha watu.. Cha kushangaza yeye mwenyewe ameishia form4 maanake anao uwezo hata wa kusoma maandiko, vipi hao watoto maanake hadi bible watakua wanafundishwa kwa nadharia sio๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ni mkanganyiko sikatai, lakini kuna baadhi ya mambo kwa akili ya kawaida tu mtu unajua hapa nakosea
โ€ข Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,

Utakuta mke wa mtu, anaenda kwenye sijui mkesha alafu analudi asubuhi.
 
โ€ข Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,

Utakuta mke wa mtu, anaenda kwenye sijui mkesha alafu analudi asubuhi.
Kwakweli ni tatizo kubwa sana aisee,, hapo inabidi kama mume uwe na msimamo wa hatari
 
Uhuru wa kuabudu umevuka mipaka? Nani aliweka hyo mipaka kiasi kwamba ionekane ukifanya haya upo ndani ya mipaka na ukifanya haya umevuka mipaka?

Hayo mambo ni magumu sana kudeal nayo kuliko mnavofikiri
 
Haya sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ