Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli ni shida kubwa mnoKama dini zinatupekee kwenye upumbavu kama huu, basi kuna shida kubwa sana.
Mtu akishafikia level hiyo mpaka aje aelewe anakosea inahitaji therapy na clinic ya hali ya juu ili arudi kuwa sawa. Hizi imani nazo zina uraibu wake tena mbaya sana.Tatizo yeye mwenyewe mhusika hajioni kama anakosea
Jamani😃😃,, acha kupotosha watu.. Cha kushangaza yeye mwenyewe ameishia form4 maanake anao uwezo hata wa kusoma maandiko, vipi hao watoto maanake hadi bible watakua wanafundishwa kwa nadharia sio😃😃Embu tulieni watoto waache kumpokea yesu waende shule 🤣🤣?
Yesu hafati watu shule, hiyo ni kama daladala ya gomzi au mbagala ukichelewa imeisha.
Vituo vya yesu vinajulikana akitoka kawe kwa mwanangu mwamposa kukusanya moja kwa moja namtumbo kwa watoto
Apate bakra tano,kesho atakuwa wakwanza kumfukuza mtoto aende shule😝
Kwakweli leo nimeanza kuamini, uraibu wa dini na wendawazimu umetenganishwa na uzi mwembamba sana😆Mtu akishafikia level hiyo mpaka aje aelewe anakosea inahitaji therapy na clinic ya hali ya juu ili arudi kuwa sawa. Hizi imani nazo zina uraibu wake tena mbaya sana.
Unahisi bakora zitasaidia kwa mtu mzima kama huyo mkuu?Apate bakra tano,kesho atakuwa wakwanza kumfukuza mtoto aende shule😝
Kabisa mkuu, haya masuala ya dini, ni mkanganganyiko.Jamani😃😃
Ni mkanganyiko sikatai, lakini kuna baadhi ya mambo kwa akili ya kawaida tu mtu unajua hapa nakoseaKabisa mkuu, haya masuala ya dini, ni mkanganganyiko.
Hosea 4:6, Watu wangu wanaangamia kwa ukosefu wa maarifa
Kwakweli naaminiHosea 4:6, Watu wangu wanaangamia kwa ukosefu wa maarifa
• Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,Ni mkanganyiko sikatai, lakini kuna baadhi ya mambo kwa akili ya kawaida tu mtu unajua hapa nakosea
Ndio ataingia uoga,kwani sii za kumbembeleza ila ajue ni bakora za hasira kwa ayafanyo😒Unahisi bakora zitasaidia kwa mtu mzima kama huyo mkuu?
Kwakweli ni tatizo kubwa sana aisee,, hapo inabidi kama mume uwe na msimamo wa hatari• Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,
Utakuta mke wa mtu, anaenda kwenye sijui mkesha alafu analudi asubuhi.
Labda sijui kuwe na sheria ya kuwaadhibu, au hata kwa kufungo cha siku kadhaaNdio ataingia uoga,kwani sii za kumbembeleza ila ajue ni bakra za hasira kwa ayafanyo😒
Haya sawaUhuru wa kuabudu umevuka mipaka? Nani aliweka hyo mipaka kiasi kwamba ionekane ukifanya haya upo ndani ya mipaka na ukifanya haya umevuka mipaka?
Hayo mambo ni magumu sana kudeal nayo kuliko mnavofikiri
Ni shida sana na hapo anajiona yupo sahihi sana.Kwakweli leo nimeanza kuamini, uraibu wa dini na wendawazimu umetenganishwa na uzi mwembamba sana😆