Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Embu tulieni watoto waache kumpokea yesu waende shule 🤣🤣?
Yesu hafati watu shule, hiyo ni kama daladala ya gomzi au mbagala ukichelewa imeisha.
Vituo vya yesu vinajulikana akitoka kawe kwa mwanangu mwamposa kukusanya moja kwa moja namtumbo kwa watoto
Jamani😃😃,, acha kupotosha watu.. Cha kushangaza yeye mwenyewe ameishia form4 maanake anao uwezo hata wa kusoma maandiko, vipi hao watoto maanake hadi bible watakua wanafundishwa kwa nadharia sio😃😃
 
Ni mkanganyiko sikatai, lakini kuna baadhi ya mambo kwa akili ya kawaida tu mtu unajua hapa nakosea
• Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,

Utakuta mke wa mtu, anaenda kwenye sijui mkesha alafu analudi asubuhi.
 
• Tatizo ni moja, Mtu akisha ingia kwenye masuala ya dini, akili huwa inapotea kabisa,

Utakuta mke wa mtu, anaenda kwenye sijui mkesha alafu analudi asubuhi.
Kwakweli ni tatizo kubwa sana aisee,, hapo inabidi kama mume uwe na msimamo wa hatari
 
Uhuru wa kuabudu umevuka mipaka? Nani aliweka hyo mipaka kiasi kwamba ionekane ukifanya haya upo ndani ya mipaka na ukifanya haya umevuka mipaka?

Hayo mambo ni magumu sana kudeal nayo kuliko mnavofikiri
 
Haya sawa
 
Back
Top Bottom