Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Uyu jamaa ni msomi kabisa PCB na alitoka na one alikua na mambo mawili TU dini na elimu kichwani na alikua anataka kua mwalimu sio kwa ufaulu mdogo Bali Kwa kupenda ila naona dini imezidi nguvu elimi akaacha chuo udom alipo kua anasoma ndo kaenda fungua kanisa🙌 sema jamaa alikua anajua organic chemistry adi Raha ila ndo ashapotea
 
Labda Wasabato Masalia
 
Hii Kali ya mwaka...🤣🤣🤣🤣
 
Hao ndiyo maprof sasa. Hivi wale masalia waliotaka kwenda Israel bila nauli waliishia wapi? Walifika? Na wapo wapi kwa sasa?

Kuna watu majiniazi sana hapa duniani aisee.
 
Makamu wa Rais au kiongozi mkristo ndio akemee hayo mambo maana Rais huyu akitia tu neno hapo wote watamgeuka kwamba analeta Udini.
 
Sasa hata hiyo biblia mtoto ataisomaje?

Kwa kweli Sikubaliani na mwinjilisti pamoja mkewe.
Ingawa naamini Mungu ana nafasi kubwa kwenye hatma ya maisha ya mtu na kizazi chake...na huwezi kumpata Mungu bila kuamini dini yoyote.
Huo ndo unaitwa ukosefu wa maarifa
 
Haya makanisa hebu wayape muogozo yatatokea maafa ndio tutaanza kusema tufanyie kazi kumekua na wahubiri wengi muda mwingine hawana cha kuhubiri wanaanza kizisema dini zingine ni upumbavu tu.

Wangefutwa wote wangese wangese
P Kagame ndio mwamba wao....
 
Msomi wa PCB anaishia kuwa brainwashed na dini hivyoo? Poleee yake.
 
MK254 kupita hapa ngamia apite kwenye tundu la sindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…