Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
KabisaHao hatari sasa,, jitahidi tu Uwe na msimamo na wife wasije wakamteka Mazima
Sio wa kuwaendekeza hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHao hatari sasa,, jitahidi tu Uwe na msimamo na wife wasije wakamteka Mazima
Bila elimu hii hata hiyo elimu ya dini utaielewa? Hii dini inachezewa sana. Kulitakiwa kuwa na namna ya kuthibiti kama wenzetu waislamu. Waislamu huwezi kufanya nyoko hizi ukabaki salamaNdio hapo sasa ninapojiuliza maswali, na huo ujasiri sijui anautoa wapi?
Mmeanza...Ila Wasabato bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda Wasabato MasaliaHuyu msabato wa wapi? Maana kanisa lineandikwa Country living hii itakuwa ni tafsiri yake katika maandiko sababu kanisa la Waadventista wasabato huwa linaongozwa na mchungaji katika mtaa husika, wainjilisti huwa wanapelekwa kusambaza injili lakini sio kuanzisha kanisa ili kanisa lianzishwe lazima liwe na baraka ya uongozi wa juu wa kanisa, na lazima lipewe mchungaji
Pichani ni mfumo wa kanisa kuanzia juu mpaka chini
Daaah! Nimecheka balaaSafi San Erick watapeli hao wangoni wote
Hii Kali ya mwaka...🤣🤣🤣🤣Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living ambaye amefungua Kanisa Kijijini hapo akiwahubira Wazazi wasiwapeleke Watoto Shule kwakuwa Yesu Kristo atarudi muda sio mrefu kuchukua kondoo wake hivyo badala ya kwenda Shule wajiandae kumpokea Yesu.
Erick ni Kijana ambaye alikuwa anasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye anadai baada ya kusoma vitabu na kuijua imani yake vizuri akaacha Chuo na kwenda kuanzisha Kanisa hilo Namtumbo “Nimesoma UDOM sikuhitimu elimu yangu sababu ni baada ya kuijua imani yangu vizuri katika vitabu, maana tumeambiwa Mtu hatoishi kwa mkate tu bali kwa kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu, mpaka nafika Chuo Kikuu nipo katika mikono ya Wazazi baada ya kujitambua Mimi nachagua njia yangu inayonipa furaha, nyakati zinazokuja chap- ya mnyama itasurutishwa, kitabu cha ufunuo wa Yohana kuna namba 666 sasa huo wakati upo karibu yetu”
DC Ngollo amesema Erick amefanikiwa kuwarubuni Wazazi mbalimbali ambao ni wa dhehebu la Wasabato Kijijini hapo na wameachisha Watoto wao Shule ili wajiandae kumpokea Yesu ambapo hadi sasa Watoto 13 tayari wameacha kwenda Shule na wameaminishwa kuwa elimu ya Mungu haipaswi kuchangamana na Elimu Dunia inayotolewa na Shule za Serikali na binafsi.
DC Ngollo akiwa na Kamati ya Usalama wa Wilaya ameagiza kukamatwa kwa Mwinjilisiti Erick na Mwinjilisti mwenzake anayemsaidia kazi za Kanisa Anthony Mkomela kwa mahojiano zaidi
Hao ndiyo maprof sasa. Hivi wale masalia waliotaka kwenda Israel bila nauli waliishia wapi? Walifika? Na wapo wapi kwa sasa?Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living ambaye amefungua Kanisa Kijijini hapo akiwahubira Wazazi wasiwapeleke Watoto Shule kwakuwa Yesu Kristo atarudi muda sio mrefu kuchukua kondoo wake hivyo badala ya kwenda Shule wajiandae kumpokea Yesu.
Erick ni Kijana ambaye alikuwa anasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye anadai baada ya kusoma vitabu na kuijua imani yake vizuri akaacha Chuo na kwenda kuanzisha Kanisa hilo Namtumbo “Nimesoma UDOM sikuhitimu elimu yangu sababu ni baada ya kuijua imani yangu vizuri katika vitabu, maana tumeambiwa Mtu hatoishi kwa mkate tu bali kwa kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu, mpaka nafika Chuo Kikuu nipo katika mikono ya Wazazi baada ya kujitambua Mimi nachagua njia yangu inayonipa furaha, nyakati zinazokuja chap- ya mnyama itasurutishwa, kitabu cha ufunuo wa Yohana kuna namba 666 sasa huo wakati upo karibu yetu”
DC Ngollo amesema Erick amefanikiwa kuwarubuni Wazazi mbalimbali ambao ni wa dhehebu la Wasabato Kijijini hapo na wameachisha Watoto wao Shule ili wajiandae kumpokea Yesu ambapo hadi sasa Watoto 13 tayari wameacha kwenda Shule na wameaminishwa kuwa elimu ya Mungu haipaswi kuchangamana na Elimu Dunia inayotolewa na Shule za Serikali na binafsi.
DC Ngollo akiwa na Kamati ya Usalama wa Wilaya ameagiza kukamatwa kwa Mwinjilisiti Erick na Mwinjilisti mwenzake anayemsaidia kazi za Kanisa Anthony Mkomela kwa mahojiano zaidi
Makamu wa Rais au kiongozi mkristo ndio akemee hayo mambo maana Rais huyu akitia tu neno hapo wote watamgeuka kwamba analeta Udini.Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living ambaye amefungua Kanisa Kijijini hapo akiwahubira Wazazi wasiwapeleke Watoto Shule kwakuwa Yesu Kristo atarudi muda sio mrefu kuchukua kondoo wake hivyo badala ya kwenda Shule wajiandae kumpokea Yesu.
Erick ni Kijana ambaye alikuwa anasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye anadai baada ya kusoma vitabu na kuijua imani yake vizuri akaacha Chuo na kwenda kuanzisha Kanisa hilo Namtumbo “Nimesoma UDOM sikuhitimu elimu yangu sababu ni baada ya kuijua imani yangu vizuri katika vitabu, maana tumeambiwa Mtu hatoishi kwa mkate tu bali kwa kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu, mpaka nafika Chuo Kikuu nipo katika mikono ya Wazazi baada ya kujitambua Mimi nachagua njia yangu inayonipa furaha, nyakati zinazokuja chap- ya mnyama itasurutishwa, kitabu cha ufunuo wa Yohana kuna namba 666 sasa huo wakati upo karibu yetu”
DC Ngollo amesema Erick amefanikiwa kuwarubuni Wazazi mbalimbali ambao ni wa dhehebu la Wasabato Kijijini hapo na wameachisha Watoto wao Shule ili wajiandae kumpokea Yesu ambapo hadi sasa Watoto 13 tayari wameacha kwenda Shule na wameaminishwa kuwa elimu ya Mungu haipaswi kuchangamana na Elimu Dunia inayotolewa na Shule za Serikali na binafsi.
DC Ngollo akiwa na Kamati ya Usalama wa Wilaya ameagiza kukamatwa kwa Mwinjilisiti Erick na Mwinjilisti mwenzake anayemsaidia kazi za Kanisa Anthony Mkomela kwa mahojiano zaidi
🤣🤣🤣
Mke Yuko Bega Kwa Bega na mume wake 😅😅🤣🤣🤣
Huyu jamaa na mke wake nimewapenda buree..
Wawaache tu..
Sasa hata hiyo biblia mtoto ataisomaje?
Huo ndo unaitwa ukosefu wa maarifaSasa hata hiyo biblia mtoto ataisomaje?
Kwa kweli Sikubaliani na mwinjilisti pamoja mkewe.
Ingawa naamini Mungu ana nafasi kubwa kwenye hatma ya maisha ya mtu na kizazi chake...na huwezi kumpata Mungu bila kuamini dini yoyote.
P Kagame ndio mwamba wao....Haya makanisa hebu wayape muogozo yatatokea maafa ndio tutaanza kusema tufanyie kazi kumekua na wahubiri wengi muda mwingine hawana cha kuhubiri wanaanza kizisema dini zingine ni upumbavu tu.
Wangefutwa wote wangese wangese
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wangoni, ni wandendeulee, poleee wee.Safi San Erick watapeli hao wangoni wote
Msomi wa PCB anaishia kuwa brainwashed na dini hivyoo? Poleee yake.Uyu jamaa ni msomi kabisa PCB na alitoka na one alikua na mambo mawili TU dini na elimu kichwani na alikua anataka kua mwalimu sio kwa ufaulu mdogo Bali Kwa kupenda ila naona dini imezidi nguvu elimi akaacha chuo udom alipo kua anasoma ndo kaenda fungua kanisa[emoji119] sema jamaa alikua anajua organic chemistry adi Raha ila ndo ashapotea
MK254 kupita hapa ngamia apite kwenye tundu la sindanoMkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living ambaye amefungua Kanisa Kijijini hapo akiwahubira Wazazi wasiwapeleke Watoto Shule kwakuwa Yesu Kristo atarudi muda sio mrefu kuchukua kondoo wake hivyo badala ya kwenda Shule wajiandae kumpokea Yesu.