Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Kwahiyo umeamua kunichana🙄😔

Cocoa, majani ya chai, na vitu unavyoviona hapo ndani, kanunua shemeji? Unataka muacha? That Woman is classy, na hana shida. Muelekeze tu, inatosha, anafaa huyo, ukishamwacha, please mpe namba yangu, au nipe yake. We mwache tu.
 
Hayo maisha ya kutegana ni kutafutiana sababu za kuachwa....ulitoa muongozo? kawaida binadamu akiachiwa elfu 50 anajua pesa ipo ya kutosha n....Kwa vitu alivyonunua kama alichukua na bolt akala na chipsi na kidali mbona kabaki na buku 2tu hapo.... communication is a key of any relation....
 
km ana chembechembe za uwaifu material na ulikuwa na mipango nae usimuache fasta ivo. ongeza muda wa kumjua ndo uamue.
 
Cocoa, majani ya chai, na vitu unavyoviona hapo ndani, kanunua shemeji? Unataka muacha? That Woman is classy, na hana shida. Muelekeze tu, inatosha, anafaa huyo, ukishamwacha, please mpe namba yangu, au nipe yake. We mwache tu.
Uliwa kumuona mtu anamtakia mema ex wake?
 
Hayo maisha ya kutegana ni kutafutiana sababu za kuachwa....ulitoa muongozo? kawaida binadamu akiachiwa elfu 50 anajua pesa ipo ya kutosha n....Kwa vitu alivyonunua kama alichukua na bolt akala na chipsi na kidali mbona kabaki na buku 2tu hapo.... communication is a key of any relation....
Yaani akale kidali mwenyewe huo si ubinafsi? Si angenunua tule wote?
 
Yaani akale kidali mwenyewe huo si ubinafsi? Si angenunua tule wote?

Tushakupa ushauri, muache, ila ni PM namba yake, huyo ananifaa, wengine we are too tough na tunataka wanawake bold, na wanaofanya akili zetu zi charge.
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Kwa nini na wewe unamwachia hela yote hiyo kama vitu viko ndani? Wewe ndiyo chanzo cha yote, ukimwacha utakuwa umemwonea!
 
Nje ya mada

Ukisikia majamaa humu yanavyodai "huyo tuachie sisi" mara "tupe namba yake" utafikiri yenyewe ukiyaachia yatamuoa au kuna cha maana yatafanya zaidi ya kumgegeda na kutoka nduki kali..😆

Ushauri
Kama kweli ana hipsi na tako laini kama skonzi mkuu we vumilia tuu hizo ndio garama za kumiliki mwanamke wa hivyo.
 
Namuachia kwaajili ya budget ya siku zaidi ya 1 kwa sababu Kuna siku nakuwa busy nasahau kuacha
Kwani mkuu ulipomwuliza amaitumiaje alikujibu nini? Uwe unamwachia elfu 5 tu kama kila kitu kimo ndani! Au siku zingine elfu 30 kama umetamani kula kuku wa kienyeji!
 
Nje ya mada

Ukisikia majamaa humu yanavyodai "huyo tuachie sisi" mara "tupe namba yake" utafikiri yenyewe ukiyaachia yatamuoa au kuna cha maana yatafanya zaidi ya kumgegeda na kutoka nduki kali..😆

Ushauri
Kama kweli ana hipsi na tako laini kama skonzi mkuu we vumilia tuu hizo ndio garama za kumiliki mwanamke wa hivyo.
Nilikuwa na hasira Ila nimejikuta nimecheka
 
Yaani akale kidali mwenyewe huo si ubinafsi? Si angenunua tule wote?
Ukiwa na baby mwenye mshiko kidali sio issues 😁😁.... Imagine kakumbuka maziwa,Milo,masala ana uhakika wa mikate na sausage huyo.....Asiachwe anajitambua
 
Back
Top Bottom