Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

🤣🤣anafidia aliyokosa kwao enzi anakuwa
Mtu alikuwa anashinda njaa🤣🤣wali unapikwa kwao sikukuu tu,nyama kwao ni anasa,chai hata alikuwa hajui watu hunywa chai asubuh🤣
Lazima afidie
Unaacha wabinti waelewa,wasiotoka kwenye dhiki,ukidhan maskin utafanya naye maisha,haipo hiyo, maskin hawasaidikagj na huwa hawana jema
Piga chini huyo haraka Sana,manake hata watoto atakuzalia wajinga.
 
Kuna mtu alisema "Hakuna watu waovu Kama masikini"
 
hiyo ni kweli maskini anakuwa na umakini wa akili na Pesa,

mfano mimi nilikuwa nawachukulia maskini kama watu ambao wanazijua shida unaeza vumilia nae ktk hali ya ya kukosa! kumbe ni tofauti maskini akipata anabadilika mchakato wa kupata ni kupewa sio kwa akili zake mwenyewe.

maskini: ukiishiwa hajui kwenye maisha mambo hayo yapo. kama ni mwanamke anatafuta Mwanaume mwingine. ukweli ni kwamba maskini hana agano.

kuna askofu mmoja alikuwa anafafanua kwenye Biblia kuhusu umaskini na agano.
akadai Mungu hana agano na maskini..
akatoa hoja mbalimbali mojawapo ni kwamba maskini ni msaliti hana msimamo
 
Ni balaa 😅🧢🖖🏾
 
Siyo kwamba nipo vizuri Ila huwa naacha hela ninayokadiria kuwa itamaliza siku tatu au nne lakini mwenzangu anaitumia yote. Mara chocolate ya Elfu 10, mara chips kuku wakati ndani Kuna vyakula aina nyingi tu. Sasa tutakuwa tunachumia matumbo
Sasa ulimnunulia na Chocolate ukaweka ndani ? [emoji23][emoji23][emoji23] Mnunulie na hivyo vitu ananunua hovyo ili akose sababu ya kuharibu hela.
 
Kama umemchoka tuachie cc ,tumle nyama mpk mifupa cc ndio mafic..........

Tafuta hela mkuu 50 elfu n bei ya kiroba Cha unga walishe wambwa Kwa matajiri.
Asumaniiii! 😂

Hivi kama kwenu ni masikini ndio hauruhusiwi kubadili status ya maisha yako ya mbele?

Anyways… mie ndio maana mtu akiniambia niache kazi tutagombana, hela ya cocoa tu masimango.
 
Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa
Masikini akipata huwa anataka sifa. Hicho unachopitia nilishawahi kiona. Unatakiwa ukumbushe kuwa hajaja kupoteza muda hapo kwako amekuja kujenga maisha.

Hii ndio sababu unatakiwa kuchukua binti ambaye kwao na kwenu hali za kiuchumi zinalingana au azidi kidogo inasaidia kuepuka kero ndogo ndogo kama hizi.
 
Asumaniiii! 😂

Hivi kama kwenu ni masikini ndio hauruhusiwi kubadili status ya maisha yako ya mbele?

Anyways… mie ndio maana mtu akiniambia niache kazi tutagombana, hela ya cocoa tu masimango.
Duh! Kwa hiyo hela za vidume kuchezea poa ila zenu hapana😲😲😲
Dah kweli wanawake ni selfish kabisa
 
Back
Top Bottom