Kama unaamini kuwa Henock ameweza kuwa beki bora kwenye Watani, umechelewa sanaYaani hapo uneongea utafikiri huyo Inonga ni beki mwenye upekee kiasi kwamba ndio wakufanyiwa mfano wakati Simba imefungwa humu ndani na Inonga akihusika. Mechi za kukamiana ndio unachukulia kama kipimo?
Leo Inonga hajacheza?Utopolo bila Mayele ni wepesi kama karatasi, na akina Henock wapo wengi michuano ya CAF
Na majibu yatapatikana Kimataifa
Kagera sugar na Mbeya City hakucheza?Kama unaamini kuwa Henock ameweza kuwa beki bora kwenye Watani, umechelewa sana
Fuatilia rekodi zake alikotoka, na wapi tumefingwa? Yaani kutoka sare ndo kufungwa?
Amezingumzia mechi ya leo, kama nimemuelewa vizuri.Kagera sugar na Mbeya City hakucheza?
Safu ya ulinzi huwa haikumiwi kwa kutoka sare bali kwa kuruhusu magoli. Unadhani safu ya ulinzi ingekuwa imara magoli yale mawili wangeyapata Namungo?Kama unaamini kuwa Henock ameweza kuwa beki bora kwenye Watani, umechelewa sana
Fuatilia rekodi zake alikotoka, na wapi tumefingwa? Yaani kutoka sare ndo kufungwa?
Tume ng'atwa na samaki wa kukaangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaliiiii. Biduuuuuu
Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.Siku si nyingi Yanga itaungana na timu nyingine kubwa duniani za ligi mbalimbali kama Real Madrid, Porto, Bayern Muchen, Ajax, Man city, Ac Millan kusheherekea ubingwa wa msimu huu
Huwa anasema wazi wazi humu kuwa tukifungwa goli lingine naondoka zangu bandani kwenda kulala.Kumbe mnakutana mabandani hadi umeshamjua kuwa anasusa.
Basi mshauri wewe ukimkuta bandani
Nimecheka sana hapa. Dah samaki wa kukaangwa amewang'ata. Inawezekanaje hili?Tume ng'atwa na samaki wa kukaangwa
Julio bwana s alisema Simba inaweza kuwa bingwa Sasa mbona kawakazia tena
Wachezaji wa Namungo ndo wamemkazia na kumpuuza JulioJulio bwana s alisema Simba inaweza kuwa bingwa Sasa mbona kawakazia tena
Hakika Yanga ni bingwa wa kihistoria na anazidi kuweka Historia katika ligi ya TanzaniaNa ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.
Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
Yaani ipo hivi, hata Timu iwe na mchezaji bora, siku ikipoteza kila mmoja atalaumu bila kujali kuwa kuna mchezaji bora wa dunia.Safu ya ulinzi huwa haikumiwi kwa kutoka sare bali kwa kuruhusu magoli. Unadhani safu ya ulinzi ingekuwa imara magoli yale mawili wangeyapata Namungo?
Ngoja tuchukue ubingwa wa 28 ndo utajua hajuiKuna Michuano ya Kihistoria? Mpaka nyie mkawa Mabingwa wa Kihistoria?