Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Yaani hapo uneongea utafikiri huyo Inonga ni beki mwenye upekee kiasi kwamba ndio wakufanyiwa mfano wakati Simba imefungwa humu ndani na Inonga akihusika. Mechi za kukamiana ndio unachukulia kama kipimo?
Kama unaamini kuwa Henock ameweza kuwa beki bora kwenye Watani, umechelewa sana

Fuatilia rekodi zake alikotoka, na wapi tumefungwa? Yaani kutoka sare ndo kufungwa?
 
Kama unaamini kuwa Henock ameweza kuwa beki bora kwenye Watani, umechelewa sana

Fuatilia rekodi zake alikotoka, na wapi tumefingwa? Yaani kutoka sare ndo kufungwa?
Safu ya ulinzi huwa haikumiwi kwa kutoka sare bali kwa kuruhusu magoli. Unadhani safu ya ulinzi ingekuwa imara magoli yale mawili wangeyapata Namungo?
 
Siku si nyingi Yanga itaungana na timu nyingine kubwa duniani za ligi mbalimbali kama Real Madrid, Porto, Bayern Muchen, Ajax, Man city, Ac Millan kusheherekea ubingwa wa msimu huu
Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.

Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
 
Kumbe mnakutana mabandani hadi umeshamjua kuwa anasusa.

Basi mshauri wewe ukimkuta bandani
Huwa anasema wazi wazi humu kuwa tukifungwa goli lingine naondoka zangu bandani kwenda kulala.
 
Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.

Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
Hakika Yanga ni bingwa wa kihistoria na anazidi kuweka Historia katika ligi ya Tanzania
 
Safu ya ulinzi huwa haikumiwi kwa kutoka sare bali kwa kuruhusu magoli. Unadhani safu ya ulinzi ingekuwa imara magoli yale mawili wangeyapata Namungo?
Yaani ipo hivi, hata Timu iwe na mchezaji bora, siku ikipoteza kila mmoja atalaumu bila kujali kuwa kuna mchezaji bora wa dunia.

Kuruhusu mabao mawili kwa leo ni kutokana na eneo la Kiungo kupwaya

Narudia tena Henock ni beki bora
 
Back
Top Bottom