Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Umetishiwa kifo halafu unakuja kuomba ushauri hapa?Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Umeoa ziraili mtoa roho. Na atakuua kweli maana kusikia na kuthibitisha tuhuma ni vitu viwili tofauti
Endelea kupata ushauri kwa wadau