Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

He is the right man to marry you. Huku utapewa kila aina ya ushauri, ila huyo mwanaume ndio wako. Kama anakuheshimu, move on nae
 
Ila inasikitisha kudhani hicho ndio kitu pekee tunachowaheshimia mkuu.

Mfano siku aamke akute haipo then ajiue au aniache atakua kanifanyia dhambi kubwa sana coz tunaweza kuishi vizuri bila hiyo
ni ngumu kuamini kwasababu tubasikia sana watu wanaachwa kwasabau wamepungukiwa hiyo nanii 😂 its easier said than done...
 
ni ngumu kuamini kwasababu tubasikia sana watu wanaachwa kwasabau wamepungukiwa hiyo nanii 😂 its easier said than done...
Kama uli invest kitandan zaid ya kwingine lazima upigwe chini tu.
Naniliu wangu mim hajawekeza kitandan tu so ana uhakika wa kuendelea kupendwa na kuheshimiwa na kuogopwa hata nanii ikiacha kutoa ushirikiano
 
Jibu unalo umelogwa, acha kutupotezea mda
 
Nilikuwa naye huyu,pole sana wanatiaga hasira sana,yani hata ukimwambia jambo la maendeleo hakusikilizi,na akiongea hataki umkatishe,ila ww ukiongea kabla hujamaliza anakukatisha[emoji23][emoji23],kiufupi hajali chochote kuhusu wewe,ila majukumu ya familia anatekeleza kama kawaida,
 
Pole dear!
Wa kwako anaonekana ni dikteta😂.
Mimi wa kwangu nikiongea vya maana/positive ananisikiliza na ananisifia ila nikiwa negative au nikikosea ndio anakua mkali sana na ndio mana namuogopa.
Niliokuaga nao mwanzo nilikua nikilia wanalegea ila huyu wa sasa kama nimekosea hata nikilia hajali😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…