Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Mwanaume asiyetaka majadiliano sikuzote anataka lake ndio liende,sasa Kuna communication hapo kweli?wanakuwaga madikteta hao🤣ajiandae kuwa mzee wa ndio,na huko kumzid kipato,wakija oana ataachishwa kazišŸ™
Ananisikiliza sana.
Na hata ushauri nampaga na anaufuata.
Akikasirika tu ndo anakua mkali.
 
Tena omba Mungu sana,piga sana goti maana wanaume wa hivi wana Siri kubwa sana,anaweza akawa anafanya mambo makubwa na ya ajabu kwa kuwa anajua unamuamini unampenda na unamuogopa pia,siku anakufanyia tukio kubwa na unadhindwa hata la kufanya
Hayo tunamuachia Mungu.
Mim naona vinavyoonekana vya sirini kama.anavyo atanipigania Mungu
 
Nimemwambia hataki, mwanaume wa hivyo anakuwaga na tabia za kujificha ,huyu dogo haelewi tu,ila tunamtakia kila la herišŸ™
Usinitabirie mabaya mkuu.
Unataka niamin vitu ambavyo sijaviona.?
Nitaendelea kumpenda na kumuamin mpaka hapo atakaponionesha sbb ya kusitisha imani na upendo wangu.
 
Hakuna aliyesema hakupendi,ana controlling behavior ambayo hupelekea abuse ikitokea hujafatisha atakayo yeye,manake yeye ndo sole muamuzi katika lolote matakalojadil au kupanga.Anyways relax mama and all the bestšŸ™
Acha tu ani control nampenda hivyo hivyošŸ˜‚
 
Tatizo lako hujajengwa kuelezea hisia zako kwa uwazi bila kuogopa upande wa pili utachukulia vipi...inaonesha ni mtu wa kukimbia au kuahirisha kusolve matatizo....je baba yako mzazi au kaka yako unaweza kuwaeleza kitu kilichokuudhi?
Baba yangu alifariki siku nyingi.
Kaka yangu naweza kuongea nae.
Kukimbia matatizo hilo kwel ni tatizo ninalo sbb mwanzon tulikua tukigombana naona kwa vile siwez kulumbana nae basi niliona solution ni kumwambia tuachane japo moyoni nakua bado nampenda.Kama angekua ananisikiliza ninavyosema tuachane tungeshaachana siku nyingi.
 
Basi jifunze kuwa huru na bila woga kumueleza vile unahisi na jaribuni kufanya vitu vitakavyovunja huo woga kama kutaniana, kwenda sehemu social mkiwa pamoja kama kwenda uwanjani kuangalia mpira...mfanye kuwa rafiki yaani itasaidia akujue hivi Sasa kuliko uje umzoee baadae akuone umebadilika.
 
Basi ni vizuri ila hakikisha unamzoesha Kila hoja anayotoa unamshauri, kama ni hapana utoe sababu, naamini hatokuwa na hasira kama ni sababu ya msingi.
Asante kwa ushauri mkuu.
Yaani sio kama ni mbabe au mkali kila saa,hapana.
Huwa tunaongeaga tu tunapiga story fresh na utani vizuri tu.Na hata ameshawahi kutaka maoni yangu kwenye jambo lake kubw a tu na akafanya kama nilivyomshauri.

Ukali ni akiwa amekasirika tu na hachekagi mara kwa marašŸ˜‚ na hua natamani awe anacheka mara kwa mara maana huwa akichekaga nafurahigi sanašŸ˜‚.šŸ˜‚

Huku kumuogopa ni mim mwenyewe wa kujilaumu sbb namuogopa ila sijui kwanini namuogopa na hajui kama namuogopa
 
Basi jifunze kuwa huru na bila woga kumueleza vile unahisi na jaribuni kufanya vitu vitakavyovunja huo woga kama kutaniana, kwenda sehemu social mkiwa pamoja kama kwenda uwanjani kuangalia mpira...mfanye kuwa rafiki yaani itasaidia akujue hivi Sasa kuliko uje umzoee baadae akuone umebadilika.
Labda tukispend time zaid itasaidia tatizo yuko busy kila siku safari za kikazi.Hapa tunavyoongea yuko nje ya nchi sijui nitamzoea linā˜¹ļø
 
Back
Top Bottom