Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Hujarogwa wala nini...! Hata wangu nae yuko hivyo hivyo, niligundua hilo hivyo najitahidi kumfanya rafiki ili awe comfortable anapokua na mimi....! Mimi wangu alikuwa hawezi hata kupiga stori na mimi alikua ananiogopa saana, ila sasa ameanza kunizoea
 
Asante kwa ushauri mkuu.
Yaani sio kama ni mbabe au mkali kila saa,hapana.
Huwa tunaongeaga tu tunapiga story fresh na utani vizuri tu.Na hata ameshawahi kutaka maoni yangu kwenye jambo lake kubw a tu na akafanya kama nilivyomshauri.

Ukali ni akiwa amekasirika tu na hachekagi mara kwa mara[emoji23] na hua natamani awe anacheka mara kwa mara maana huwa akichekaga nafurahigi sana[emoji23].[emoji23]

Huku kumuogopa ni mim mwenyewe wa kujilaumu sbb namuogopa ila sijui kwanini namuogopa na hajui kama namuogopa
[emoji848][emoji848]
 
Hujarogwa wala nini...! Hata wangu nae yuko hivyo hivyo, niligundua hilo hivyo najitahidi kumfanya rafiki ili awe comfortable anapokua na mimi....! Mimi wangu alikuwa hawezi hata kupiga stori na mimi alikua ananiogopa saana, ila sasa ameanza kunizoea
Bora wewe unaelewa mkuu.
Watu wanakimbilia kufikiria ushirikina tu.
Hata mim naamin woga utaniisha
 
Hello people.

Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi.

Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi.

Japo huwa ananisaidiaga financially akijisikia ila nahisi ninamzidi kipato na simtegemei ila sijui kwanin sauti yake imekua na mamlaka sana kwangu,yaan nikisikia tu sauti yake sijui kwanini hata tone yangu inabadilika na kuwa ya upole na unyenyekevu mkubwa na huwa nalipima neno kabla ya kumwambia.

Kuna siku alinikasirisha sana na sikutaka tena kuendelea na mahusiano nae akawa akipiga sipokei then kwa hasira nikapanga akipiga nipokee then nimfokee nimjibu mbovu then nikate nimblock lakini cha ajabu nilivyopokea na kusikia sauti yake tu sikuweza tena kuongea nae kwa sauti ya ukali kama nilivyopanga na maneno makali niliyokua namwambia kwenye sms ukiniambia nimwambie kwa mdomo siwezi so nikaishia kuwa mpole kama mwanakondoo tu.

Sio mkatili wala sijalogwa ila nikimzingua ni mkali sana ila anajali na anajitahidi sana kunionesha upendo lakini sijui kwanini namuogopa hadi nakosa ujasiri wa kutoa madukuduku yangu kwake.

Mimi ni mwanamke.
Tatizo mnadate na babu zenu..uhuru utaupata wapi?mtu anakuzidi miaka 30 lazima umuogopešŸ˜€šŸ˜€
 
Your in Love tena deeply
 
Hahaa mkuu nothing serious..napenda utani sana..

Wewe enjoy maisha ndg yangu as long as kitandani mwamba anapiga show vizurišŸ˜€
Worry out mkuu sikukwazika!
Kitandan nako si haba mashaallahšŸ˜‚
 
Back
Top Bottom