Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
- Thread starter
- #261
It doesnt matter ni wa ngapi.Huyo ni mpenzi wako wa ngapi tangu umekua?
What matters is ,He is the one and only kwa sasa mpaka pale atakapozingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It doesnt matter ni wa ngapi.Huyo ni mpenzi wako wa ngapi tangu umekua?
🙏🙏Wacha weee...
Basi swaaafi hayo mengine hayana madhara enjoy safely🤝
Sema mkuu kuna kitu sijui nikuambie au niache tu..hebu nishauri nikuambie au niache😀
Nakushauri usiniambie mkuu😂Sema mkuu kuna kitu sijui nikuambie au niache tu..hebu nishauri nikuambie au niache😀
Hahaha umeupiga mwingi sana mkuu😀Nakushauri usiniambie mkuu😂
Kwanin?Hahaha umeupiga mwingi sana mkuu😀
Umenishauri nisikuambie mkuuKwanin?
Kwani ulitaka kuniambia nin mkuu?😂
Fanya kama.kupuuza huo ushaur then uniambieUmenishauri nisikuambie mkuu
Tayari nini??,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Haya nitakuambia usijali..Fanya kama.kupuuza huo ushaur then uniambie
Nini tena bestie?mbona hivi?polee,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tayar nin mkuu?Tayari nini??
Haya nasubirHaya nitakuambia usijali..
Halafu hz post za kuandika uko na wenge la usingiz hz?😂Nini tena bestie?mbona hivi?polee
Mbona unaliaTayar nin mkuu?
Silii mkuu.Mbona unalia
Mambo yanaenda lakini....Silii mkuu.
Nilikosea emoji tu
Sawa mkuu.Mwanaume siku zote anatakiwa awe na sauti ya mamlaka na muwajibikaji kwa mwanamke na popote pale hata ndani na nje ya familia yake...
Wewe hapo sio uoga ni utii na unyenyekevu kwake na hivyo ndivyo unavyo takiwa uwe kama mwanamke ..
Ila kuna wajinga wanao kushauri kua una mwoogopa mpenzi wako na wanataka umkalie mwanaume kitu ambacho hakiwezekani , sasa maneno yao yanakufanya ujione mwoga kwa mwanaume na ukiwasikikiza utajiharibia mahusiano yako mwenyewe kwa mikono yako .amini nakuambia wewe bi dada