Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

absolutely.... we unaeza kuingia kwenye mahusiano na mwanaume unaejua kabisa ana erectile dysnfunction?? 😂
Siwezi😂😂
Ila kama.tayari nishaingia kwenye mahusiano nae na ninampenda kama hivi hlf apate matatizo hayo siwezi kumuacha na sitamsaliti coz ni bora nimsaliti akiwa mzima kuliko kumsaliti akiwa ktk matatizo hayo.
 
hivo vi-emoji 😂 they prove my point....
 
Back
Top Bottom