Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Usijali familia za ki Chief huwa iko hivyo mtu anaweza kuongea kawaida tu lakini ukasikia kama Ghost linaunguruma ana hivyo vinasaba muulize.
Alafu mchukulie poa tu haumizi huyo.
 
Usijali familia za ki Chief huwa iko hivyo mtu anaweza kuongea kawaida tu lakini ukasikia kama Ghost linaunguruma ana hivyo vinasaba muulize.
Alafu mchukulie poa tu haumizi huyo
 
Wanawake kama wewe huwa wanaitwa vindondocha. Huwa kazi yao ni kutii kila anachoambiwa na mumewe halafu mapenzi na waume zao huwa hayanogi kitu kinachofanya wanaume kupenda mchepuko zaidi na kuwaacha wake zao kama vyombo vya kuzaa.
Hawezi kuwa na michepuko.
Ananipenda sana.
Namuamini.
Na kama kumtii mwanaume wangu ni undondocha haina shida dini yangu imenifundisha kuwatii wanaume na ndio maana naogopa hata kumjibu vibaya
 
Zingatia hiyo sentensi ya mwisho ndivyo ulivy😵mba Mungu usivute bangi na kubadilika.
 
Tumia chumvi ya mawe kwa kuchoma, kuogea na iyeyushe kwenye maji uwe unajipaka na mafuta ya mgando.

itakuondolea huo wasiwasi si kwa boy wako tu bali kwa vitu vingi.
No thanks mkuu,siamini katika hayo mavitu.
Najiamin sana
 
Usijali familia za ki Chief huwa iko hivyo mtu anaweza kuongea kawaida tu lakini ukasikia kama Ghost linaunguruma ana hivyo vinasaba muulize.
Alafu mchukulie poa tu haumizi huyo.
Honestly mkuu hata mim kuna saa nahisi ana elements za kiutawala.
Wazungu huwa wanaamin kabla ya maisha haya tulishaishi maisha mengine tukiwa watu wengine.Kama ni kweli basi nahisi huyu alikua mtawala aliyeheshimika na kuogopewa
 
afu unasema huamini vimbwata😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…